Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

NINGESHTUKA SANA ENDAPO UNGESEMA "NDANI YA SAA SITA, WATANZANIA WACHANGA MILIONI 200""
sasa sijui umetuletea kitu gani hapa,nimesikia mpaka Jana ndio zimepita 16th, hii ni dalili ya watanzania kuchoka na tabia yake ya kupiga makelele yasiyokuwa na tija wala msaada wowote!
Mtandao wa vodacom ulidhibitiwa kukwamisha zoezi(tunaendelea kuchunguza)
 
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

View attachment 2994064
Masikini anamchangia mwenye pesa, hii ndio bongo
 
Nasubiri mashahara uingie nitoe mchango wangu kwa dhati kabisa,
Kipindi hiki tunakwara PRADO TX ile new model sokoni
 
Screenshot_20240522-200140_Google.jpg
 
Kichwa cha kuku hakibebi mzigo hivi mnachangiaje mtu hela kununua gari ili hali ni tajiri yaani wabongo wengi kichwani ni weupe kila mtu apambane na hali yake .
Asante
Wewe usichange . Tuache tuchange? Kuna taasisi tajir kama RC? Mbona wenyewe ndiyo wanaongoza kwa michango na sandaka? Sasaivi wanajrnga KIGANGO Kigamboni na kila aliyebatizwa anatoa 2000/= kwann kanisa lisijenge lenyewe?
Acha kupotosha
 
Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kuchangia kiongozi ni upendo walio nao wananchi, na ndio namna yao ya kuuelezea, sasa wananchi watamuhongaje kiongozi wao?

Ni utamaduni umeanza tangu enzi za Mwalimu.

Kwa hiyo wanaomchangia Lissu gari pia wanamuhonga? Wanamchangia ili afanye kampeni aupate urais, na wengine wanachanga ili mtu wao akapiganie nafasi yake
 
Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kuchangia kiongozi ni upendo walio nao wananchi, na ndio namna yao ya kuuelezea, sasa wananchi watamuhongaje kiongozi wao?

Ni utamaduni umeanza tangu enzi za Mwalimu
Comments reserved
 
Back
Top Bottom