Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwani umelazimishwa? mbona juzi mmechanga form ya uRais na hulalamiki?Watanzania tuna shida sana, tunamchangia kwani sasa hivi anatumia gari gani? Huyu ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatumia gari la ofisi.
Akishinda ubunge atanunua jingine, akiwa rais ndio kabisa atakuwa nayo ya kutosha kwanini tunachanga ghafla hivi, kaomba gari au ni huruma ya watanzania tu?