Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

View attachment 2994064
Kesho nachanga laki moja
 
Watanzania tuna shida sana, tunamchangia kwani sasa hivi anatumia gari gani? Huyu ni makamu mwenyekiti wa CHADEMA anatumia gari la ofisi.
Akishinda ubunge atanunua jingine, akiwa rais ndio kabisa atakuwa nayo ya kutosha kwanini tunachanga ghafla hivi, kaomba gari au ni huruma ya watanzania tu?
 
Back
Top Bottom