Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Hii ni another scheme za kuwakamua wanachama wenu bila kujijua. Mlianza na Join The Chain na sasa hivi mumetumia kisingizio cha Makamu Mwenyekiti wenu. Anyway usimuamshe aliyelala
Kwan umekamuliwa?
 
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

View attachment 2994064
Malisa ni mfuasi wa Mbowe, amegoma kabisa kuhamasisha mchango huu
 
Mwenye nacho huongezewa, mara ya mwisho nafika kwa lissue tegeta alikua amepak kama range 3 Yani...
Waliomchangia wanazo ngapi kama hizo!! Ukipewa orodha ya waliomchangia utazimia. Hakuna mlalahoi hata mmoja waliochanga ni wale walizonazo tu.
 
Hatari sana, inamaana CDM wameshindwa kuwa na gari au utaratibu wa kupata gari za viongozi mpaka oyaoya ya michango ya wanachama?

Sidhani kama tuko serious.
Gari iliyoshambuliwa ni yake binafsi,na gari inavyotaka kununuliwa kufidia ile iliyoharibiwa na maharamia.
Kwa hiyo gari itakayonunuliwa ni mali yake Lissu binafsi sio ya CHADEMA.

Binafsi nitachangia jambo hili muhimu.
 
Mbona fomu Moja ya urais tumekusanya zaidi ya 50m wakati fomu ni 1m.... Mara 50 ya bei. Hata gari tutalipia mara 50
hv mkuu unadhan kila mtu anyeuliza swali ambalo masikio yenu wafia vyama hayatak kusikia basi ni kwamba yupo upande wa pili?
 
Screenshot_2024-05-21-14-47-16-1.png
 
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

View attachment 2994064
NINGESHTUKA SANA ENDAPO UNGESEMA "NDANI YA SAA SITA, WATANZANIA WACHANGA MILIONI 200""
sasa sijui umetuletea kitu gani hapa,nimesikia mpaka Jana ndio zimepita 16th, hii ni dalili ya watanzania kuchoka na tabia yake ya kupiga makelele yasiyokuwa na tija wala msaada wowote!
 
Gari iliyoshambuliwa ni yake binafsi,na gari inavyotaka kununuliwa kufidia ile iliyoharibiwa na maharamia.
Kwa hiyo gari itakayonunuliwa ni mali yake Lissu binafsi sio ya CHADEMA.

Binafsi nitachangia jambo hili muhimu.
Kwani hiyo gari iliyo shambuliwa na risasi haikua na Bima!?
 
Back
Top Bottom