Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

View attachment 2994064
mbona kidunchu sana, halafu muda mrefu mno?

mko wangapi kwani na mnachangia bei gan 🐒
 
Hatari sana, inamaana CDM wameshindwa kuwa na gari au utaratibu wa kupata gari za viongozi mpaka oyaoya ya michango ya wanachama?

Sidhani kama tuko serious.
Kwani umelazimishwa kuchangia? Acha wenye moyo safi tuchange ili hiyo iwekwe makumbusho wajukuu zetu wajue kuwa tuliwahi kuongozwa na madhalimu wauaji
 
Wamchangie tu
Kama tungekuwa na utaratibu wa kusaidiana hivi naona tungezalisha matajiri humu ila akitokea mtu anaomba atabezwa vibaya sana

Natamani mngekuwa na moyo huu kwa kila mtu
Ila ushabiki ni maradhi aise unaweza kupenda kitu na hakuna wa kukuambia kitu hata mama zenu
 
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927

Kama umeguswa na unyama aliotendewa Tundu Lissu waweza kuchangia kupitia utaratibu huu hapa chini

View attachment 2994064
Kwa umoja wetu hatuwezi shindwa fikisha Mil 500 ili Mh. TL akae kwenye LC300, kamanda ana kazi nzito sana ya kuwaanda watanganyika na ushindi wa ukombozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom