Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Kichwa cha kuku hakibebi mzigo hivi mnachangiaje mtu hela kununua gari ili hali ni tajiri yaani wabongo wengi kichwani ni weupe kila mtu apambane na hali yake .
Asante
 
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927
Mkuu, hebu tupe namna ya kuchangia na sisi tushiriki kwenye kuandika historia ya huyu mwamba!
 
Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.

Kwa wabongo waliopigika kumchangia mtu 10mil within 24hrs huo ni upendo mkuu sana!

View attachment 2993927
Hongera zenu ila zisiingie kwenye a/c join the chain huwa ha!ijulikani zinaishia wapi kwenye vitabu vya mapato na matumizi hazionekani!
 
Uzi wa kuchangia uko wapi humu?
sijaona hapa jf ila utaratibu wa kuchangia umewekwa kwenye mitandao mingine

Huu hapa

Screenshot_2024-05-19-16-44-47-1.png
 
Back
Top Bottom