Kwa Masaa 24 tu Mchango wa Gari mpya ya Tundu Lissu wazidi milioni 10

Wataelewa tu.
 
Mara wamtukane Nyerere mara awe role model.....haya 2025 itaeleweka
 
Hata mie nawashangaa wanaomchangia.

Lissu amekuwa akilalama kuwa hajalipwa fedha za matibabu yake, na "Exposure therapy" anayopaswa kufanya ina mgarimu.

Kwanini wasimchangie fedha za matibabu ili akija kushika nyadhifa asi ingizie Serikali gharama zingine? Zingatia CHADEMA wanadai wanakuja kukata/kupunguza matumizi?
 
Kwa wananchi wa kawaida kama akinasisi..uchangia wanasiasa/mambo ya kisiasa inahitaji ujinga wa hali ya juu sana. Me binafsi bado sijafikia kiwango hicho cha ujinga.
 
Kwa wananchi wa kawaida kama akinasisi..uchangia wanasiasa/mambo ya kisiasa inahitaji ujinga wa hali ya juu sana. Me binafsi bado sijafikia kiwango hicho cha ujinga.
Wewe ni masikini wa hela na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…