Kwa maslahi mapana ya Taifa CCM imakinike sana na vijana

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ni lazima na ni muhimu sana wasome upepo ulivyo kwasasa.. Na kundi la kuchunga sana ni hili kundi la vijana... Lina ndoto nyingi.. Lakini pia changamoto za maisha ni nyingi na halioni mwanga mbele.

Tofauti na makundi mengine hili ni kundi ambalo halina cha kupoteza maana bado halijafikia mahali pa kumiliki chochote isipokuwa wenyewe.

Ni kundi lenye maamuzi ya ghafla na ya haraka.. Lisilo na utulivu, subra wale tafakuri ya kuwaza mara mbili.. Linapenda matokeo ya haraka.. Bila kujali athari za matokeo husika.

Jana msemaji wa serikali alifanya jambo la hatari sana. Alienda UDOM kujumuika nao usiku kwenye muziki baada ya kuwachamba mtandaoni.

Akajichanganya kuongea nao.. Has a lunch el awe aha wakaanza kuzomea na kupiga kelele za NO REFORMS NO ELECTION

Hata alipochukulia poa na kujaribu kuwatuliza kwa kuwaimbia bado haikuwezekana.. Walizidisha kelele.

Baadae alikuja kusema waliofanya vile walikuwa ni "walevi wachache"

Lakini kwa hakika ile ilikuwa ni 'wake up call' ... Jana walichokifanya ilikuwa ni 'micro phone test'.. Wamefanikiwa kutest mitambo na wameona kumbe inawezekana...!!!! Mbegu imeshapandwa tayari

Next time itakuwa sio kuzomea tuu.. Bali itakuwa kurushiwa vitu kama chupa na viatu.. Na hatua itakayofuata ni pamoja na vurugu

Kwa hali ilivyo sasa hakuna haja ya kuwa 'provoke' zaidi vijana.. Ni kuwatafutia matatizo muwaumize bure.. Vibe walilonalo kwasasa linahitaji hekima kubwa kulipoza..

Mbegu ya NO REFORMS NO ELECTION imeshamea na vijana wameshaielewa.. 'One mistake' utawakuta barabarani.. Na kwakuwa hawana kiongozi kitakachotokea ni 'mob psychology na mass hallucination.. Matokeo yake sio ya kuombea .. Maana yataacha kumbukumbu mbaya vizazi na vizazi na kuna watu watawajibika nayo!

UDO
 
Vijana walikuwa TYL 🐼

Vijana wa UVCCM na Bavicha wote wana Vitambi
 
View attachment 3360747
UDO
mkimaliza kujaza comments and posts online mtuambie
 
wala ata sna haraka mkmaliza fujo za online mtuambie sasa sisi tufanye uhalisia oktoba
NRNE.jpeg
 
Back
Top Bottom