Kwa maslahi mapana ya Taifa CCM imakinike sana na vijana

likewise sisi tutafanya uhalisia swala la ccm kuondoka madarakan mjukuu wako atasubiri sana
downloadfile-1.jpg
 
vijana wote makini wako bega kwa bega na mama

watovu wa nidhamu ndio wanashindwa kuucheza muziki na ni kundi la wachache kwa kweli
 
Ruto alivunja Cabinet yake kwasbabu ya Protest za Genz
Hawa kina Msigwa wanataka Kuleta Tension zaidi hawajui Vijana wana Smartphone na wako aware na Kila Kinachoendelea ni hatari sana
 
Back
Top Bottom