Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

Hata mimi najiuliza kenge mwenzangu mwenye kukalili lugha ya kufundishwa, kajifunze kwanza maana kamili ya neno lugha.
Sio "KUKALILI" ni kukariri! rudi chekechea ukajifunze kusoma na kuandika kwanza ndio urudi uanzishe mada.
 
Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U.

Ngoja nieleweke vizuri hapa,
Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi naungana na hao watu.

Maana tukisema uchaguzi uwe huru na uamue nani awe rais na nani awe mbunge, itakua rahisi kulipoteza taifa letu kwenye amani.


Maana sio kila mtu anapenda kuliona taifa letu likiwa kwenye amani na upendo. Kuna watu Watanzania wanatamani taifa letu liwe kwenye mivutano na migogoro kuna watu wanafika mbali wakitamani hata vita kwenye nchi yetu.

Hivyo basi hao watu WACHACHE wenye akili kubwa na elimu kubwa na weledi na hekima wanaopanga nani awe rais na nani awe mbunge NAUNGANA NAO. tena nipo pamoja nao.
Tukisema uchaguzi uwe huru ipo siku NCHI itaongozwa na walevi au wale wazee wa ubabwa.

In English jokes
YES ELECTION YES LEFORM.

MAANA NAIJUA AKILI YA WAPIGA KURA WA TANZANIA

ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sawa hautakiwi kuwa huru bali wa shetani, hivi unajielewa au waelewa nini umendika , upo na watoto kweli? Taifa hili sio la ccm , ni ruksa kila chama nngoza nchi hii
 
Sio "KUKALILI" ni kukariri! rudi chekechea ukajifunze kusoma na kuandika kwanza ndio urudi uanzishe mada.
Sawa mwalimu, ila mi siimaanishi hiyo yako (kariri) namaanisha hii hii yangu kalili
 
Mda utaongea, mkiendesha v8 jua Mungu ndie awalindae , mtaisoma no mwaka huu
Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu
 
Back
Top Bottom