Mimi ni paka kama wewe tu, ambaye unashadadia vitu usivyo vijua Mazala yake kwako taifa na vizazi vyako, tena wewe ndio paka shume kabisa
Wewe ni kijana mpumbavu mjukuu wa shetani , sio tu uko kama tishu ya kuchambia matako bali pedi iliyotumika .
Wabasiasa hawana mchango wowote Afrika zaidi ya wao kunufaika sana na madaraka .
msaga na familia ya Mndengereko wa Zanzibar kwa miaka kumi` madarakani ni mabilionea wakubwa wanaokimbizana na akina Mohamedi Dewji walioanza biashara tangu babu zao huko india karne ya saba wakaja Afrika Mashariki.
Mnyiramba wa Fedha leo ni tajiri wa Mabasi akishindana na akina Abood waliofanya biashara hiyo kwa karibu nusu Karne kwenye familia za kitajiri na biashara ya mabasi,
Hao ndio unaotaka wakuchagulie Viongozi mpaka wa nyumba kumi .
Mfumo wa kidikteta unatakiwa uongozwe na Jeshi sio Matajiri kama majambazi waloojificha ndani ya CCM kuupitia uchaguzi wa rushwa .
Hivi hauoni jinsi Samia na Kiikwete wanavyoigeuza nchi kubwa kama tanzania kuwa kama mali yao huku wao wakiogelea kwenye utajiri mkubwa kupindukia ?
China haikufika ilipofika kwa mifuko hii ya kuoba fedha za umma na kuchangia ujenzi wa nyumba za ibada na kugawa pesa kwa wasanii ,wachezaji na machawa wasio na akili kama wewe.
China imefika ilipo kwa sababu ya Sera,tamadauni ,dira, sheria,mifumo ya ujamaa na miiko yake na kuisimamia. Ujamaa ulijengwe kwenye mioyo ya wachina kwa viongozi kuwa mfano wa kulinda rasilimali za umma . Huwezi kumfanya Mzanzibar asiyeamini ujamaa kuitawala Tanganyika yenye katiba ya kijamaa na watu waliojengwa kijama kwa muda mrefu matokeo yake ni kakikundi kadogo kutawala nchi kwa malengo ya mali tu . Hao ni kama wavamizi na watanuondoa mtanganyija yeyote mzalendo watawabakiza wale wanye malengo binafsi ya kujilimbikizia mali za umma.
Wataimba wimbo wa amani kumbe ni amani ya mali zao na familia zao . Hakibhawaitaki kwa sababu itawahukumu kwa wizi walioutenda.
Unakuaje na nchi ya kijamaa halafu watawala ni mabepari na wanakimbiza fedha na mali nje ya nchi ?
Yaani mtu mmoja anakuja kwa tamaa zake anajimilikisha mali za umma halafu anakua na fedha nyingi za kununua watu halfu eti amechaguliwa na mfumo ?
Mfumo unajengwa kimapinduzi sio blahblah za wachumia tumbo zao na tamaa. Mfumo gani huo ,'unaowalaza wazalendo halisi mfano Sokoine Chali , Karume chali, Nyerere Chali ,Mkapa chali Mrema chali, JPM chali Kijazi chali ,Maalim Seif chali .
Leo hii mashuleni hakuna somo la siasa linalohamasisha mfumo wa Kijamaa kama katiba yetu inavyosema . Wameliondoa somo zuri la kujenga umoja wetu na ujamaa wetu kwa makusudi kwa sababu wataulizwa mbona nyie ni mabepari .
Nchi inapokosa watawala wazalendo ili isonge mbele ni lazima ama iawaliwe Kijeshi au Kidemokrasia kweli kweli ili wananchi waweze kuwa huru kuwaondoa viongozi majambazi . Jamii ndiyo inayojua nani anaiba wapi na amelimbikiza wapi .
Lakini ukiua demokrasia katikati ya majambazi utajenga Taifa la kijambazi na mwisho litaingia kwenye ugaidi kama huu wa kuteka watu na kuua na mwishowe matajiri wataunda vikundi vyao vya kigaidi ili kupora mali za nchi na Jeshi litakua dhaifu kwa sababu litakua na wabajeshi wasomi lakini machawa wanaowaza mali na starehe zao tu . Sasa mtu anayewaza mali na starehe hawazi kulifia taifa . Huyo ataishi Dubai na kuachana na jeshi au patakua na jeshi la mijini kwenye starehe kama kinshasa kule kongo na vijijini watabaki wanajeshi wa kukodi.
Tanzania tuna Jeshi imara kwa sababu kwa miaka mingi waasisi walilijenga katika misingi ya ujamaa . Walipokuja Wazanzibar wakaja na tamaa ya kujilimbikizia mali ndio maana mpaka majaji wanawaza mali sio haki na taaluma yao . Majenerali kwenye majeshi kama kule Nigeria wanawaza mali tu . Wakifikia hapo yanakua ni mazee yenye pesa nyingi za kula bata tu na mademu na starehe hivyo hawataki tena kutoka madarakani au hawataki Rais wasiyemtaka wao . Wanaweka rais wa kulinda maslahi yao na familia zao. Hawajali tena utaifa . Wanadhani wanaweza kutumza amani kwa kuua watu wanaopinga maovu yao.