Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U.

Ngoja nieleweke vizuri hapa,
Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi naungana na hao watu.

Maana tukisema uchaguzi uwe huru na uamue nani awe rais na nani awe mbunge, itakua rahisi kulipoteza taifa letu kwenye amani.
Kwa maslahi ya taifa yule muhaini anatakiwa kunyongwa
Na ubongo wako una mavi ya mbwa.

Ila endelea kuuimba huo wimbo wako wa NO NYOKO NYOKO NO KUNE KUNE ipo siku NCHI jirani zitakuwa na wakimbizi kutoka TANZANIA
Asante
Maana sio kila mtu anapenda kuliona taifa letu likiwa kwenye amani na upendo. Kuna watu Watanzania wanatamani taifa letu liwe kwenye mivutano na migogoro kuna watu wanafika mbali wakitamani hata vita kwenye nchi yetu.

Hivyo basi hao watu WACHACHE wenye akili kubwa na elimu kubwa na weledi na hekima wanaopanga nani awe rais na nani awe mbunge NAUNGANA NAO. tena nipo pamoja nao.
Tukisema uchaguzi uwe huru ipo siku NCHI itaongozwa na walevi au wale wazee wa ubabwa.

In English jokes
YES ELECTION YES LEFORM.

MAANA NAIJUA AKILI YA WAPIGA KURA WA TANZANIA

ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

Huo ndio ukweli. Lazima wawepo wachache wa kuongoza dira ya Taifa.

Ukiwaachia manyumbu kama hawa wanaoshabikia Simba na Yanga, ati wachague Rais wanayemtaka, unaweza kushangaa hata BICHWA KOMWE akawa Rais. Tunabinya hapo.

Fikiria mtu kama Lucas Mwashambwa anapewa fursa ya kuchagua Rais wa nchi, utashangaa ikulu imegeuzwa kuwa ngome ya mazezeta.

Huyu Lucas abaki tu huku chini akitupigia makofi na kuokoteza vimia mia huku tunasonga mbele.

Naunga mkono hoja. Vilaza wasipewe nafasi ya kuamua.

Mwakani nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar nitatoa semina vizuri zaidi kuhusu hili. Wakati huo chalamila ameshafurushwa na kurudi kwao Nyanda za Juu Kusini.

Cc: secretarybird ChoiceVariable Tlaatlaah DR Mambo Jambo
 
Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U.

Ngoja nieleweke vizuri hapa,
Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi naungana na hao watu.

Maana tukisema uchaguzi uwe huru na uamue nani awe rais na nani awe mbunge, itakua rahisi kulipoteza taifa letu kwenye amani. Maana sio kila mtu anapenda kuliona taifa letu likiwa kwenye amani na upendo. Kuna watu Watanzania wanatamani taifa letu liwe kwenye mivutano na migogoro kuna watu wanafika mbali wakitamani hata vita kwenye nchi yetu.

Hivyo basi hao watu WACHACHE wenye akili kubwa na elimu kubwa na weledi na hekima wanaopanga nani awe rais na nani awe mbunge NAUNGANA NAO. tena nipo pamoja nao.
Tukisema uchaguzi uwe huru ipo siku NCHI itaongozwa na walevi au wake wazee ubabwa.

In English
YES ELECTION YES LEFORM.

MAANA NAIJUA AKILI YA WAPIGA KURA

ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Leform ? W.T.F is that?
 
Tume ikiwa huru!mlengwa atashinda Kwa kutumia mind control ya wapiga kura!!

Cha msingi ni kuhakikisha mtia Nia ana sifa ya kutimiza matakwa ya dola na malengo ya kitaifa!!

Tatizo vetting za watia Nia nazo vigezo vipo chini!vigezo vikiwa juu hatutokuwa na hofu yoyote ya atakaeshinda coz mfumo mpya utamsimamia kiongozi hasta haribu!
 
Mhhh
 
Huo ndio ukweli. Lazima wawepo wachache wa kuongoza dira ya Taifa.

Ukiwaachia manyumbu kama hawa wanaoshabikia Simba na Yanga, ati wachague Rais wanayemtaka, unaweza kushangaa hata BICHWA KOMWE akawa Rais. Tunabinya hapo.

Fikiria mtu kama Lucas Mwashambwa anapewa fursa ya kuchagua Rais wa nchi, utashangaa ikulu imegeuzwa kuwa ngome ya mazezeta.

Huyu Lucas abaki tu huku chini akitupigia makofi na kuokoteza vimia mia huku tunasonga mbele.

Naunga mkono hoja. Vilaza wasipewe nafasi ya kuamua.

Mwakani nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar nitatoa semina vizuri zaidi kuhusu hili. Wakati huo chalamila ameshafurushwa na kurudi kwao Nyanda za Juu Kusini. Akaendelee kusoma Philosophy and Epistemology.

Cc: secretarybird ChoiceVariable Tlaatlaah DR Mambo Jambo
 
Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U.

Ngoja nieleweke vizuri hapa,
Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi naungana na hao watu.

Maana tukisema uchaguzi uwe huru na uamue nani awe rais na nani awe mbunge, itakua rahisi kulipoteza taifa letu kwenye amani. Maana sio kila mtu anapenda kuliona taifa letu likiwa kwenye amani na upendo. Kuna watu Watanzania wanatamani taifa letu liwe kwenye mivutano na migogoro kuna watu wanafika mbali wakitamani hata vita kwenye nchi yetu.

Hivyo basi hao watu WACHACHE wenye akili kubwa na elimu kubwa na weledi na hekima wanaopanga nani awe rais na nani awe mbunge NAUNGANA NAO. tena nipo pamoja nao.
Tukisema uchaguzi uwe huru ipo siku NCHI itaongozwa na walevi au wake wazee ubabwa.

In English
YES ELECTION YES LEFORM.

MAANA NAIJUA AKILI YA WAPIGA KURA

ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Una hoja! Usikilizwe. Hoja yako ina mashiko sema inahitaji maboresho kidogo sana!
 
Yaweza kuwa hivyo! Hata hivyo nimejifunza, wenye elimu ndogo ndiyo wenye akili kubwa! Upo vizuri sana mkuu binafsi nimekuelewa!
Sawa kiongozi nashukuru kwa kuutambua mchango wa mawazo yangu
 
Mimi kiasi kikubwa siyo mfuasi wa democrasia ikiwa ccm watakuwa wanatuletea watu wenye uchungu na nchi basi watawale tu.
 
Back
Top Bottom