DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Huo ndio ukweli
Na ubongo wako una mavi ya mbwa.Una mavi kichwani, tofauti ya ubongo wako na mavi ni joto tu
SafiMimi kiasi kikubwa siyo mfuasi wa democrasia ikiwa ccm watakuwa wanatuletea watu wenye uchungu na nchi basi watawale tu.
Huo ndio ukweli. Lazima wawepo wachache wa kuongoza dira ya Taifa.
Ukiwaachia manyumbu kama hawa wanaoshabikia Simba na Yanga, ati wachague Rais wanayemtaka, unaweza kushangaa hata BICHWA KOMWE akawa Rais. Tunabinya hapo.
Fikiria mtu kama Lucas Mwashambwa anapewa fursa ya kuchagua Rais wa nchi, utashangaa ikulu imegeuzwa kuwa ngome ya mazezeta.
Huyu Lucas abaki tu huku chini akitupigia makofi na kuokoteza vimia mia huku tunasonga mbele.
Naunga mkono hoja. Vilaza wasipewe nafasi ya kuamua.
Mwakani nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar nitatoa semina vizuri zaidi kuhusu hili. Wakati huo chalamila ameshafurushwa na kurudi kwao Nyanda za Juu Kusini.
Cc: secretarybird ChoiceVariable Tlaatlaah DR Mambo Jambo
Wewe ni shoga,,, wameshalegeza kila mahali, mpaka ubongo 🗑Na ubongo wako una mavi ya mbwa.
Ila endelea kuuimba huo wimbo wako wa NO NYOKO NYOKO NO KUNE KUNE ipo siku NCHI jirani zitakuwa na wakimbizi kutoka TANZANIA
Asante
Wacha ncheke kwanza,Kwa maslahi ya taifa yule muhaini anatakiwa kunyongwa
Na wewe ni shoga wameshalegeza kila mahali mpaka kwenye masikioWewe ni shoga,,, wameshalegeza kila mahali, mpaka ubongo 🗑
Kwanza taifa alina amani Bali Lina watu waoga tu, taifa kama ili ambalo akuna haki limejaa double standard (upendeleo) alijawai kuwa na amani zaidi Lina watu wengi ambao Bado ni wajinga na waoga.Kama ni kweli tunaendeshwa na Tume ya taifa ya uchaguzi ISIYO HURU basi nipo pamoja na hiyo tume ya taifa I S I Y O H U R U.
Ngoja nieleweke vizuri hapa,
Yaani ni hivi:- kama ni kweli KUNA WATU WACHACHE wanaokaa mahali na kupanga nani awe rais na nani awe mbunge na wanafanikiwa basi naungana na hao watu.
Maana tukisema uchaguzi uwe huru na uamue nani awe rais na nani awe mbunge, itakua rahisi kulipoteza taifa letu kwenye amani.
Maana sio kila mtu anapenda kuliona taifa letu likiwa kwenye amani na upendo. Kuna watu Watanzania wanatamani taifa letu liwe kwenye mivutano na migogoro kuna watu wanafika mbali wakitamani hata vita kwenye nchi yetu.
Hivyo basi hao watu WACHACHE wenye akili kubwa na elimu kubwa na weledi na hekima wanaopanga nani awe rais na nani awe mbunge NAUNGANA NAO. tena nipo pamoja nao.
Tukisema uchaguzi uwe huru ipo siku NCHI itaongozwa na walevi au wale wazee wa ubabwa.
In English jokes
YES ELECTION YES LEFORM.
MAANA NAIJUA AKILI YA WAPIGA KURA WA TANZANIA
ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Wewe pia ni mpumbavu zaidi ya hiyo NO NYOKO NYOKO yako unayoiimbaYaan we ni mpumbavu kabisa
Sawa, ila kuna msemo unasema huwezi ijua neema mpaka ikutoke,Kwanza taifa halina amani Bali Lina watu waoga tu, taifa kama ili ambalo akuna haki limejaa double standard (upendeleo) alijawai kuwa na amani
🤝💪Mleta Mada una I.Q kubwa sana humu itakuwa ngumu kueleweka!
Tafadhali sijataja majina usinigombanishe na watuKwa iyo mkuu unataka systeam imueke chawa kama Lucas awe raisi na Tundu Lissu akili kubwa asiwe rais siyo?
Hivi JF huwa inasajili kila aina ya takataka?! Haina hata ka-vetting kidogo? Lijitu kama hili lililoleta mada ilitakiwa limeshokuwa blocked kitambo sana.Wewe ni mtu au paka
SIjali ayo Mimi mafanikio yanakuja Kwa kupitia maumivu atuwezi kuwa na taifa lenye katiba ya chama tawala here we go 🔥Sawa, ila kuna msemo unasema huwezi ijua neema mpaka ikutoke,
Endeleeni kuimba huwo wimbo wenu wa NO NYOKO NYOKO ipo siku mwanao atakuwa kwenye kambi mkimbizi wa nchi jirani.
Je chama chako kina utaratibu sahihi wa kuwapata wagombea wenye akili timamu?SIjali ayo Mimi mafanikio yanakuja Kwa kupitia maumivu atuwezi kuwa na taifa lenye katiba ya chama tawala here we go 🔥