Kwa maslahi mapana ya TAIFA uchaguzi haupaswi kuwa HURU

Hata mimi najiuliza kenge mwenzangu mwenye kukalili lugha ya kufundishwa, kajifunze kwanza maana kamili ya neno lugha.
Sio "KUKALILI" ni kukariri! rudi chekechea ukajifunze kusoma na kuandika kwanza ndio urudi uanzishe mada.
 
Sawa hautakiwi kuwa huru bali wa shetani, hivi unajielewa au waelewa nini umendika , upo na watoto kweli? Taifa hili sio la ccm , ni ruksa kila chama nngoza nchi hii
 
Sio "KUKALILI" ni kukariri! rudi chekechea ukajifunze kusoma na kuandika kwanza ndio urudi uanzishe mada.
Sawa mwalimu, ila mi siimaanishi hiyo yako (kariri) namaanisha hii hii yangu kalili
 
Mda utaongea, mkiendesha v8 jua Mungu ndie awalindae , mtaisoma no mwaka huu
Mi pia kipindi nikiwa muhuni tu mtaani nilikua nikiwa ndani ya basi natoka mkoani nilikuwa natamani gari ipate ajali ili nipate mali za abiria watakaokuwa wamekufa🤕🤕🤕 bila kujua kuwa wenda kwenye hiyo ajali na mimi nitakuwa miongoni mwa marehemu
 
Mi mwenyewe nime shangaa mjinga kama wewe umekoment kwenye uzi wa mjinga mwenzio.
nimecomment kwenye jukwaa huru linaloitwa jamii forums, sehemu ambayo wajinga kama wewe mko huru kupost uzi wa kijinga kama huu wa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…