Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

Kwa maslahi mapana ya taifa, Zitto ungana na Tundu Lissu tuchukue nchi

Basi humjui babu duni wewe, Duni anaamini katika Zanzibar yenye mamlaka kamili (Kama ilivyokuwa kabla ya mwaka 1964 April)
swali ni Je kuwa na Zanzibar yenye mamlaka kamili Kuna muungano hapo
nb: duni ana misimamo isiyoyumba

..kwa maoni yangu, muungano hauepukiki.

..na muungano wa serikali 3 ndiyo unaokidhi matamanio ya walio wengi.

..Warioba, Salim Salim, Butiku, wote wana misimamo isiyoyumba ya muungano wa serikali 2 kuelekea 1 hakini baada ya kuona hali halisi ilivyo walipendekeza serikali 3.

..Kwenye tume ya Warioba kulikuwa na wajumbe wasiotaka muungano kabisa lakini walikubali mapendekezo ya serikali 3.

..Muamuzi ni KURA YA WANANCHI.
 
I totally agree with you kuwe na "Referendum" wazanzibari na watanganyika waulizwe wanautaka muungano ama la.
 
Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM.

Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda.

Membe hawezi kushinda urais hata siku moja maana hatakuwa na back-up ya nguvu ya umma kama itakavyokuwa kwenu.

Najua kuna vijana wa Makumbusho wanakufata wakikwambia umchukue Membe ila nakuhakikishia wanakuingiza mtegoni kama ilivyokuwa kwa Lowassa na chadema. Lissu na wewe ndio mna % kubwa ya kushinda urais mwaka huu. Kubali uwe waziri mkuu, Lissu awe Rais.

Nyaraka zinawabeba otherwise msije kuwalaumu Watanzania.
Nawakubali saana mnokiri kuwa CDM ilifeli kwa Lowassa, sijui kwanini kuna wehu wanapinga hili.

CDM tuliua chama chetu hapa.
 
Labda kuna siri ambayo mimi binafsi siifahamu, lakini hakika hakuna kitu ninatamani kitokee kama vyama vya upinzani viungane, kuungana huko iwe bora zaidi wote wahamie chama kimoja, wamteue ngombea mmoja wamuweke pale mbele kuwania uongozi wa nchi. Kutokana na uchu wa madaraka hii ndoto yangu sijui kama itatimia ila naota sana.
 
Back
Top Bottom