kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Kabla hajabadili (baada ya kuelimishwa) aliandika nini?Kasema rais na waziri mkuu, soma vizuri acha kukurupuka na kujifanya mjuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi humjui babu duni wewe, Duni anaamini katika Zanzibar yenye mamlaka kamili (Kama ilivyokuwa kabla ya mwaka 1964 April)
swali ni Je kuwa na Zanzibar yenye mamlaka kamili Kuna muungano hapo
nb: duni ana misimamo isiyoyumba
anayekurupuka ni wewe ambaye hata hujasoma ujumbe wa mtoa mada niliou quote.Acha kukurupuka ,kasema Zito awe waziri mkuu hajasema awe makamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
..kwa maoni yangu, muungano hauepukiki.
..na muungano wa serikali 3 ndiyo unaokidhi matamanio ya walio wengi.
..Warioba, Salim Salim, Butiku, wote wana misimamo isiyoyumba ya muungano wa serikali 2 kuelekea 1 hakini baada ya kuona hali halisi ilivyo walipendekeza serikali 3.
..Kwenye tume ya Warioba kulikuwa na wajumbe wasiotaka muungano kabisa lakini walikubali mapendekezo ya serikali 3.
..Muamuzi ni KURA YA WANANCHI.
Nawakubali saana mnokiri kuwa CDM ilifeli kwa Lowassa, sijui kwanini kuna wehu wanapinga hili.Najua kuna watu wapo kazini kuhakikisha Membe anagombea urais kupitia ACT lakini siyo kwa maslahi ya taifa bali ni kwa maslahi ya CCM.
Nashauri ZittoTundu Lissu wapitie bandiko ili wafanye kitu kwa maslahi mapana ya upinzani kwa ujumla,nawahakikishia mtashinda.
Membe hawezi kushinda urais hata siku moja maana hatakuwa na back-up ya nguvu ya umma kama itakavyokuwa kwenu.
Najua kuna vijana wa Makumbusho wanakufata wakikwambia umchukue Membe ila nakuhakikishia wanakuingiza mtegoni kama ilivyokuwa kwa Lowassa na chadema. Lissu na wewe ndio mna % kubwa ya kushinda urais mwaka huu. Kubali uwe waziri mkuu, Lissu awe Rais.
Nyaraka zinawabeba otherwise msije kuwalaumu Watanzania.