Kwa Matajiri wa JF

Ni kweli! Plan zangu ilikuwa niezeke japo chumba kimoja pagale langu la vyumba vinne inayobaki nifanye biashara!
Nikajua unakopa kuendeleza uwekezaji fulani.

Kumbe unakopa kwa ajili ya kutumia halafu eti kiasi kitachobaki ndiyo uanzishe biashara?

Mkuu unahitaji kwanza "Elimu Ya Fedha" kabla hujaanza hatua yeyote ya kuomba mkopo.
 
Njoo Nachingwea tulime wewe
 
Nikajua unakopa kuendeleza uwekezaji fulani.

Kumbe unakopa kwa ajili ya kutumia halafu eti kiasi kitachobaki ndiyo uanzishe biashara?

Mkuu unahitaji kwanza "Elimu Ya Fedha" kabla hujaanza hatua yeyote ya kuomba mkopo.
Nimewaza kama nikiwa kwangu itanisaidia kupunguza gharama za maisha so sitaumia sana na marejesho!
 
Andikia watu wa kawaida matajiri ni zaidi ya uwajuavyo
 
Gharama za pango ninapoishi ni Shs laki moja na nusu! Niliwaza kutumia Shs milioni mbili laki Tano kufanya ukarabati na inayobaki nifanye biashara! Niliwaza kufanya biashara ya mitumba
Mkuu mi nakushauri utafute kwanza kitabu kimoja kinaitwa "Elimu ya msingi wa fedha" by Makirita Amani, Kitakusaidia sana.

www.amkamtanzania.com
www.kisimachamaarifa.co.tz
+255 752 977 170

Mimi ninacho cha mfumo wa hardcopy hivyo sitaweza kushare.

NB: Unao uwezo wa kuanzia na hichohicho ulichonacho na ukapiga hatua.

Kwasasa pitia pitia hichi, kuna kitu utafunguka; mkuu.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…