Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mimi nikopeshwe pia βΊοΈπHii ni kwenu matajiri wa JF,
Heshima nyingi kwenu!
Nawaandikia baada ya kufikiri na kutafakari kwa kina juu ya hatima ya maisha yangu.
Kila nikitafakari na kuangalia kesho yangu naona kama hakuna nuru. Na kama maisha yangu yakiendelea hivi bila external force kuingilia kati naona dalili ya kufa pasipo kuonja mema ya nchi Mungu aliyotuahidia.
Hivyo basi, kwa heshima na taadhima naomba japo tajiri mmoja mwenye Roho Mtakatifu wa Mungu anikopeshe mtaji nami nimlipe kulingana na tutakavyokubaliana.
Natumaini ombi langu limefika. Mungu akubariki. Barikiwa.
Ahsante
Wee si ndo beiraboy kakaAisee
Kwanini unasema hvo mkuuMkuu wewe ni content creator
SikuweziWee si ndo beiraboy kaka
Sasa computer na mike vya kazi ganiKwanini unasema hvo mkuu
Mimi ni graphic design, director pia ni video producer mkuuSasa computer na mike vya kazi gani
Ok unapatikana mkoa ganiMimi ni graphic design, director pia ni video producer mkuu
Napatikana dar saalam mkuuOk unapatikana mkoa gani
Duuuuuuu....! Bahati mbaya siishi Kigamboni!Kama upo kigamboni njoo pm haraka sana
Pole sana ndugu yanguDuuuuuuu....! Bahati mbaya siishi Kigamboni!
Mungu amtangulie kivipi wakati kasema anataka mtaji?.Mungu akutangulie
Mkuu mimi nina hivyo vifaa, kama una mpango kazi mazuri tuangarie tunafanyajeNapatikana dar saalam mkuu
Nije pm mkuu...Mkuu mimi nina hivyo vifaa, kama una mpango kazi mazuri tuangarie tunafanyaje
Njoo tuyajengeNije pm mkuu...
Madam kwema ?Hata sisi maskini tungeweza kukuchangia angalau robo ya riziki zetu, ila kwa kuwa umewaita matajiri, basi wasubiri waje kukusaidia.
Maskini wenzangu Xmass wapi?
Dubaiπππ au Hawaii?πππππ
Kwema kabisaMadam kwema ?
Ooh jambo la khery....Kwema kabisa