kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ila kusema ukweli sio kosa, ni haki yake kuongea mambo yanayowahusu wananchi. Big up mzeeNisipoteze muda wenu, sikiliza wenyewe.
Mods tulikuwa tunajiuliza Huyu mzee kasema nini mpaka wamshikilie hivi? Spare this watu wajue the inside out of this saga
View attachment 3234463
Konyagi mwitu Msasani?Hata Wassira alikuwa anaenda na kidumu kununua Konyagi Mwitu kule Msasani mwisho Lakini Leo ndiye Boss wa CCM π
Tatizo lako unaishi machame ungekuwa hapa Mjini ungelijua Dr Slaa anapitia mapito ya kawaida sana Siasani
Ukipiga pure Ile no. One haaahaa, lazima kutema madini...ndio maana akaitwaga Tyson πβΊοΈWazee wa Mara ile Kitu hawaachagi π
Nimesoma kaka, tule vinywaji changamshi tu asee hekima zote zipo humoUkipiga pure Ile no. One haaahaa, lazima kutema madini...ndio maana akaitwaga Tyson πβΊοΈ
Si vibaya kunywa kwa stara naamuunga mkono mzee WASSIRA Kama anapigaga mvinyo na kazi zinafanyika vyema.
Aisome min -me
Mzee konyagi mwitu inapatikana viunga vyote vya wilaya ya kinondoni yaan hata hapo mwenge, kawe,msasani e.t.cKonyagi mwitu Msasani?
πβΊοΈNimesoma kaka, tule vinywaji changamshi tu asee hekima zote zipo humo
Watu wanywe asee hakuna maisha mengine zaidi ya haya bwasheeMzee konyagi mwitu inapatikana viunga vyote vya wilaya ya kinondoni yaan hata hapo mwenge, kawe,msasani e.t.c
πβΊοΈ
Sana tu na Tyson alikuwa anaiendea mwenyewe dadeki πKonyagi mwitu Msasani?
Sana tu na Tyson alikuwa anaiendea mwenyewe dadeki πKonyagi mwitu Msasani?
Kweli hili ni la muhimu Sana watu wengi ma great thinker na watu makini lazima hutumia vinywaji changamshi.Watu wanywe asee hakuna maisha mengine zaidi ya haya bwashee
Mno bwasheeeKweli hili ni la muhimu Sana watu wengi ma great thinker na watu makini lazima hutumia vinywaji changamshi.
Huyu dingi tushawahi kukaa nae mahali siku nzima, hapa hakuna cha AI ni sauti yake halisi na swaga zake ndo hizi na ni yeye na kuropoka kama hivi kwa cm si sahihi kwa level yake, mzee unajiachiaje kiasi hicho kwenye cm. Hata kama unajua mambo ya wakubwa haifai kuropoka. Huyu dingi vipi tena. Haya kayataka mwenyewe japo yaonesha alikuwa akiongea kwa cm na mtu aliemuamini sana na hakuwaza kama alikuwa akirekodiwa.AI na ndiyo maana nimesema hapo mwanzo
Kidumu cha lita ngapi πππHata Wassira alikuwa anaenda na kidumu kununua Konyagi Mwitu kule Msasani mwisho Lakini Leo ndiye Boss wa CCM π
Alilazimishwa kuwa muislam?Awe chawa mara ngapi? Kwa sababu Samia muislam tu
Dr Slaa yupo sahihi sana. SSH na machawa wake wanaiharibu nchi hii.Wanamkomoa amekataa kuwa chawa
UWT wanasumbua kiongozi πππ ulinifanya nikatafuta hii tafsiri.Alilazimishwa kuwa muislam?
Anaonea wabara lakini hagusi wazanzibar wenzakeDr Slaa yupo sahihi sana. SSH na machawa wake wanaiharibu nchi hii.