Kwa matokeo haya ya US Monastir kwa siku za karibuni, Yanga lazma afungwe

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.
6D6108C7-C26D-4F8C-87FE-B7FB977211E4.jpeg
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Yanga amecheza mechi 9 zote ameshinda!
 
Kama unalinganisha basi weka na matokeo ya Yanga katika mechi 7 tuone yalikuaje?

Kingine mpira sio hesabu kwamba lazima 2+2 ikuletee 4 ni lazima mcheze uwanjani ndo mmoja aliyemzidi mbinu mwenzake ashinde.
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Pia matokeo ya mechi 9 zilizopita Yanga kashinda zote, kwaio hoja Yako imekufa kifo cha mende
Screenshot_20230209-201416.jpg
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Na matokeo ya yanga yakoje kwa mwezi mzima!?
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Unavyosema lazima , ulazima unatoka wapi je unayajua ya kesho , kwanini tusiupe mpira wa miguu heshima ..
 
Simba hawezi kupoteza hiyo mechi,coz kila mchezaji muhimu yupo,ila sasa yanga shida ipo kwenye mtu wa kumlisha mipira mayele,na nabi akijichanganya aanze na double striker amekwisha.
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Shikamoo mzee Rage
 
Ajabu wanaongoza ligi na wanashinda kila mechi
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Na ndio maana nasema mashaiki wa bongo wajinga kidogo
 
Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.

Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.

Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Utakuwa kolo aka nyau. kwani matokeo ya Yanga yakoje?
 
Hawa ndugu zetu kila kitu wanajua... Matokeo ya Yanga na us monastir wanatabiri, mkataba wa Yanga na Sportpesa wanaujua.. mkataba wa Feisal na Yanga wanaujua.
Wanamtegemea chizi Jemedari Said Kazumari mbwiga.
 
Simba hawezi kupoteza hiyo mechi,coz kila mchezaji muhimu yupo,ila sasa yanga shida ipo kwenye mtu wa kumlisha mipira mayele,na nabi akijichanganya aanze na double striker amekwisha.
Mashabiki wa Simba mabingwa wa kuzicheza mechi za Yanga ,wakati Horoya wakimkaba Chama au wakikata supply ya mipira kwenda kwa Chama,wanashinda game zote mbili ya nyumbani kwao na ugenini.
 
Back
Top Bottom