Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
- Thread starter
- #21
Kwani Yanga mnasemaje?Ungeeleweka kama ungeweka pia na matokeo ya Yanga, ili tulinganishe.
By the way, mpira unachezwa uwanjani! Na siyo mdomoni, au kupitia maandishi kama haya ya kwako.