Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Yanga amecheza mechi 9 zote ameshinda!Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Pia matokeo ya mechi 9 zilizopita Yanga kashinda zote, kwaio hoja Yako imekufa kifo cha mendeWamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Na matokeo ya yanga yakoje kwa mwezi mzima!?Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Unavyosema lazima , ulazima unatoka wapi je unayajua ya kesho , kwanini tusiupe mpira wa miguu heshima ..Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Hawa ndugu zetu kila kitu wanajua... Matokeo ya Yanga na us monastir wanatabiri, mkataba wa Yanga na Sportpesa wanaujua.. mkataba wa Feisal na Yanga wanaujua.Unavyosema lazima , ulazima unatoka wapi je unayajua ya kesho , kwanini tusiupe mpira wa miguu heshima ..
Duh umemaliza kila kitu, mleta mada by now yupo hoiPia matokeo ya mechi 9 zilizopita Yanga kashinda zote, kwaio hoja Yako imekufa kifo cha mendeView attachment 2511848
Shikamoo mzee RageWamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Ajabu wanaongoza ligi na wanashinda kila mechiSimba hawezi kupoteza hiyo mechi,coz kila mchezaji muhimu yupo,ila sasa yanga shida ipo kwenye mtu wa kumlisha mipira mayele,na nabi akijichanganya aanze na double striker amekwisha.
Na ndio maana nasema mashaiki wa bongo wajinga kidogoWamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Utakuwa kolo aka nyau. kwani matokeo ya Yanga yakoje?Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja.
Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation.
Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni na mbinu ya kupunguza magoli.View attachment 2511807
Wanamtegemea chizi Jemedari Said Kazumari mbwiga.Hawa ndugu zetu kila kitu wanajua... Matokeo ya Yanga na us monastir wanatabiri, mkataba wa Yanga na Sportpesa wanaujua.. mkataba wa Feisal na Yanga wanaujua.
Mashabiki wa Simba mabingwa wa kuzicheza mechi za Yanga ,wakati Horoya wakimkaba Chama au wakikata supply ya mipira kwenda kwa Chama,wanashinda game zote mbili ya nyumbani kwao na ugenini.Simba hawezi kupoteza hiyo mechi,coz kila mchezaji muhimu yupo,ila sasa yanga shida ipo kwenye mtu wa kumlisha mipira mayele,na nabi akijichanganya aanze na double striker amekwisha.