Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Feb 16, 2023 Thread starter #21 Tate Mkuu said: Ungeeleweka kama ungeweka pia na matokeo ya Yanga, ili tulinganishe. By the way, mpira unachezwa uwanjani! Na siyo mdomoni, au kupitia maandishi kama haya ya kwako. Click to expand... Kwani Yanga mnasemaje?
Tate Mkuu said: Ungeeleweka kama ungeweka pia na matokeo ya Yanga, ili tulinganishe. By the way, mpira unachezwa uwanjani! Na siyo mdomoni, au kupitia maandishi kama haya ya kwako. Click to expand... Kwani Yanga mnasemaje?
Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Feb 16, 2023 Thread starter #22 Bauntu asukile said: Unavyosema lazima , ulazima unatoka wapi je unayajua ya kesho , kwanini tusiupe mpira wa miguu heshima .. Click to expand... Heshima gani?
Bauntu asukile said: Unavyosema lazima , ulazima unatoka wapi je unayajua ya kesho , kwanini tusiupe mpira wa miguu heshima .. Click to expand... Heshima gani?
Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Feb 16, 2023 Thread starter #23 tony92 said: Hawa ndugu zetu kila kitu wanajua... Matokeo ya Yanga na us monastir wanatabiri, mkataba wa Yanga na Sportpesa wanaujua.. mkataba wa Feisal na Yanga wanaujua. Click to expand... Na kipigo mtakachopata kwa Mazembe tunakijua
tony92 said: Hawa ndugu zetu kila kitu wanajua... Matokeo ya Yanga na us monastir wanatabiri, mkataba wa Yanga na Sportpesa wanaujua.. mkataba wa Feisal na Yanga wanaujua. Click to expand... Na kipigo mtakachopata kwa Mazembe tunakijua
Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Feb 16, 2023 Thread starter #24 Vontec said: Duh umemaliza kila kitu, mleta mada by now yupo hoi Na inawezekanaa na Uzi kashaukimbia. Click to expand... Leteni matokeo
Vontec said: Duh umemaliza kila kitu, mleta mada by now yupo hoi Na inawezekanaa na Uzi kashaukimbia. Click to expand... Leteni matokeo