Kwa matukio haya hakika Wachina wana damu kali sana

Kwa matukio haya hakika Wachina wana damu kali sana

[emoji848][emoji848] Yawezekana maana siyo kwa kujazana huko huku Afrka yaani kuanzia miradi mikubwa hadi umachinga ni wao [emoji15][emoji15][emoji15]
Kuna kitu kinaitwa kupandikiza utaifa.wakizaliwa kuwa wengi watataka asili Yao kuwa uhuru na mkiwaletea ubishi asilizao kama taifa lenye nguvu litakuja kuwatetea na kujikuta ni koloni tena.

Jiulize wao mbona wanawake zao wanakatazwa kuzaa na waafrika huko kwao.
 
View: https://youtu.be/gO0f2HY8-k4?si=Ic59xgMztmPg-ajY
Screenshot_20230924-101414.png
 
Kifizikia maana DNA sikuwahi wapima 😅😅View attachment 2760466

Yes kama ni kifizikia upo sahihi...

Lakini kiDNA, vinasaba vya mtu mweusi ni kali sana na inasemekana kuna baadhi ya wazungu ambao kwa muonekano ni caucasians kabisa, wakipimwa DNA wanaonekana asili yao ni mtu mweusi...

Hivyo conclusion huwa mtu mweusi ndio mwenye kuacha urithi kwa vizazi vyake miaka na miaka hata kama kwa muonekano wa kifizikia utaonesha tofauti...
 
Kuna kitu kinaitwa kupandikiza utaifa.wakizaliwa kuwa wengi watataka asili Yao kuwa uhuru na mkiwaletea ubishi asilizao kama taifa lenye nguvu litakuja kuwatetea na kujikuta ni koloni tena.

Jiulize wao mbona wanawake zao wanakatazwa kuzaa na waafrika huko kwao.
Aisee 😳😳😳 kumbe kuna hatari ya sisi kuwa watumwa au kufukuzwa kabisa ndani na nchi au bara letu..?

Na ndiyo maana wa- Hindi wanatupiga vita mno sisi ngozi ngumu kuwaoa dadazao 🤔🤔🤔.
 
Yes kama ni kifizikia upo sahihi...

Lakini kiDNA, vinasaba vya mtu mweusi ni kali sana na inasemekana kuna baadhi ya wazungu ambao kwa muonekano ni caucasians kabisa, wakipimwa DNA wanaonekana asili yao ni mtu mweusi
Sasa rafiki hadi kuja kupima na kufahamu hizo DNA, nchi na bara zima la Afrika litakuwa limejaa Wachina 😄😄😄
 
Nilikutana na dada mmoja pale msasani beach yupo na mzee wa kichina. Mtoto wao ni mchina mtupu. Yaani ukiambiwa huyo dada ndio mama yake waweza bisha. Wachina wana genetic kali mno
 
Kuna kitu kinaitwa kupandikiza utaifa.wakizaliwa kuwa wengi watataka asili Yao kuwa uhuru na mkiwaletea ubishi asilizao kama taifa lenye nguvu litakuja kuwatetea na kujikuta ni koloni tena.

Jiulize wao mbona wanawake zao wanakatazwa kuzaa na waafrika huko kwao.
Huu umbea wachina wengi wana maboyfriend wakiafrika wengi tu na wanazaa nao
 
Aisee 😳😳😳 kumbe kuna hatari ya sisi kuwa watumwa au kufukuzwa kabisa ndani na nchi au bara letu..?

Na ndiyo maana wa- Hindi wanatupiga vita mno sisi ngozi ngumu kuwaoa dadazao 🤔🤔🤔.
Huyo jamaa anaandika umbea
 
Nilikutana na dada mmoja pale msasani beach yupo na mzee wa kichina. Mtoto wao ni mchina mtupu. Yaani ukiambiwa huyo dada ndio mama yake waweza bisha. Wachina wana genetic kali mno
Mimi niliisha wahi kuwa na marafiki wawili waliozaa na wachina ila watoto wao hawajachukua ata kucha kutoka kwa mzazi wao wakitz aisee...

Eti mtoto anamuita "mama nasikia njaa" nikimuangalia mtoto nashindwa la kuongea 😅😅😅😅...
 
Kawaida hiyo kwa hao watu watoto wao wanafanana sana na wao hii tofauti kidogo na wazungu
Mzungu na Mwafrika au mwarabu vs Mwafrika tunaweza gawana 50 kwa 50 yaani yeye akabeba rangi kidogo na mimi kidogo, nywele nyeusi ila laini kitu shombe shombe fulani ila mchina haitaji DNA, yaani anabeba hadi kucha..😥😥😥
 
Wachina wanaproject ya kutengeneza majasusi wenye asili ya nchi Yao na mataifa mengine
Hilo wala siwezi kulishangaa maana baada ya miaka 50 utashangaa Marais wana asili ya China (mapandikizi)
Ulaya wameagiza magari ya umeme kutoka China na wanayafyatua haswa ila tatizo muingereza amelishtukia ni wachina kuweka vinasa sauti katika magari hayo au chip haya yameongelewa huku uk ila wachina wamekana kabisa na kusema ni uzushi
Ila magari yanatengenezwa kwa wingi sana na batteries zake
Kwa kuanza kuzalisha watoto Africa inaweza ikawa mipango yao ila kama sio hivyo basi hao watoto masikini badala ya kuwa kwao na kutengeneza simu watakula ugali mpaka akili ziwakae sawa
 
Back
Top Bottom