Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Population ya China iliyopo Afrika ni ndogo ukicompare na hayo mataifa makubwa huko mpaka China Town zipo huku wachina wetu ni wa construction tu na viwanda bubu sio wa ajira rasmi tofauti na huko majuu.Hilo wala siwezi kulishangaa maana baada ya miaka 50 utashangaa Marais wana asili ya China (mapandikizi)
Ulaya wameagiza magari ya umeme kutoka China na wanayafyatua haswa ila tatizo muingereza amelishtukia ni wachina kuweka vinasa sauti katika magari hayo au chip haya yameongelewa huku uk ila wachina wamekana kabisa na kusema ni uzushi
Ila magari yanatengenezwa kwa wingi sana na batteries zake
Kwa kuanza kuzalisha watoto Africa inaweza ikawa mipango yao ila kama sio hivyo basi hao watoto masikini badala ya kuwa kwao na kutengeneza simu watakula ugali mpaka akili ziwakae sawa
Hiyo project haipo ni umbea, wachina walikuwa wanaogopa kwenda na watoto wao kutokana na sheria ya uzazi iliyo kuwepo awali ilikuwa inawabana