Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kuna kitu kinaitwa kupandikiza utaifa.wakizaliwa kuwa wengi watataka asili Yao kuwa uhuru na mkiwaletea ubishi asilizao kama taifa lenye nguvu litakuja kuwatetea na kujikuta ni koloni tena.[emoji848][emoji848] Yawezekana maana siyo kwa kujazana huko huku Afrka yaani kuanzia miradi mikubwa hadi umachinga ni wao [emoji15][emoji15][emoji15]
Kifizikia maana DNA sikuwahi wapima π π View attachment 2760466
Aisee π³π³π³ kumbe kuna hatari ya sisi kuwa watumwa au kufukuzwa kabisa ndani na nchi au bara letu..?Kuna kitu kinaitwa kupandikiza utaifa.wakizaliwa kuwa wengi watataka asili Yao kuwa uhuru na mkiwaletea ubishi asilizao kama taifa lenye nguvu litakuja kuwatetea na kujikuta ni koloni tena.
Jiulize wao mbona wanawake zao wanakatazwa kuzaa na waafrika huko kwao.
Sasa rafiki hadi kuja kupima na kufahamu hizo DNA, nchi na bara zima la Afrika litakuwa limejaa Wachina πππYes kama ni kifizikia upo sahihi...
Lakini kiDNA, vinasaba vya mtu mweusi ni kali sana na inasemekana kuna baadhi ya wazungu ambao kwa muonekano ni caucasians kabisa, wakipimwa DNA wanaonekana asili yao ni mtu mweusi
Huu umbea wachina wengi wana maboyfriend wakiafrika wengi tu na wanazaa naoKuna kitu kinaitwa kupandikiza utaifa.wakizaliwa kuwa wengi watataka asili Yao kuwa uhuru na mkiwaletea ubishi asilizao kama taifa lenye nguvu litakuja kuwatetea na kujikuta ni koloni tena.
Jiulize wao mbona wanawake zao wanakatazwa kuzaa na waafrika huko kwao.
Huyo jamaa anaandika umbeaAisee π³π³π³ kumbe kuna hatari ya sisi kuwa watumwa au kufukuzwa kabisa ndani na nchi au bara letu..?
Na ndiyo maana wa- Hindi wanatupiga vita mno sisi ngozi ngumu kuwaoa dadazao π€π€π€.
Kawaida hiyo kwa hao watu watoto wao wanafanana sana na wao hii tofauti kidogo na wazunguView attachment 2760468
Huwezi kumuita mwizi huyu mdada?
Project imeanzishwa lini ?Wachina wanaproject ya kutengeneza majasusi wenye asili ya nchi Yao na mataifa mengine
Bado naendelea kuiangalia na inazidi kuniongezea maswali mfano ..
Mimi niliisha wahi kuwa na marafiki wawili waliozaa na wachina ila watoto wao hawajachukua ata kucha kutoka kwa mzazi wao wakitz aisee...Nilikutana na dada mmoja pale msasani beach yupo na mzee wa kichina. Mtoto wao ni mchina mtupu. Yaani ukiambiwa huyo dada ndio mama yake waweza bisha. Wachina wana genetic kali mno
Mzungu na Mwafrika au mwarabu vs Mwafrika tunaweza gawana 50 kwa 50 yaani yeye akabeba rangi kidogo na mimi kidogo, nywele nyeusi ila laini kitu shombe shombe fulani ila mchina haitaji DNA, yaani anabeba hadi kucha..π₯π₯π₯Kawaida hiyo kwa hao watu watoto wao wanafanana sana na wao hii tofauti kidogo na wazungu
Naona katoto kanasumbua, huenda kanataka kucheza karate au kanataka kuchezea calculator au simu.
Kamefanana na Jack Ma kuna namna hapa sio bureNaona katoto kanasumbua, huenda kanataka kucheza karate au kanataka kuchezea calculator au simu.
Hilo wala siwezi kulishangaa maana baada ya miaka 50 utashangaa Marais wana asili ya China (mapandikizi)Wachina wanaproject ya kutengeneza majasusi wenye asili ya nchi Yao na mataifa mengine