Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!
Baada ya Kifo cha Magufuli wengi walisema kuwa watu hawatopotea wala kusemekana kutekwa kwa kuwa watu wako huru sana na wengi walikuwa wakisema Magufuli ndio alikuwa ana agiza watu hao kutekwa na kupotezwa!
Lakini sasa matukio haya yanaonekana kuonekana tena kwa kasi ya ajabu sasa ni wazi kuna uwezekano mkubwa Magufuli alisingiziwa au Polisi wanasingiziwa!
Cha kujiuliza nani ana husika kwenye haya?
Pia soma: