KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
nadhani imefika mahala, kama ww ni mTanzania mwenye fikra za ku-dissent na serikali kwenye maamuzi mengi wanayoyafanya , ni vyema ukahamisha familia yako nchi nyingine maana utawasumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nahisi ivo aisee mana Sioni kama hio inahaja kuwa agenda ya Kitaifa kama wanavyo weka Public hapa Kuna Njama ya Kuchafua regime iliyopo madarakaniHizi ni njama za sukuma gang, wanataka kumchafua mama. Mama ana madhaifu mengine lkn kamwe hataki, hapendi na hafanyi utekaji. Jiwe aliunda kikundi cha wasiojulikana, na akawa anakitumia kuteka watu.
Nami nina mawazo kama yako. Kwani watu wanashindwa kujiuliza, mangapi yameigwa ya mwendazake? Wanashindwa nini kuiga na hili, ili kunyamazisha watu.Mbona watu wanaenda kwenye tatizo bila kujua chanzo cha tatizo.?
Hawezi kusafishwa kirahisi hivyo hiyo michezo ilianzia utawala wake na rais aliyekuwepo ni makamu wake.
Samia karithi baraza la mawaziri la Magufuli kafanya mabadiliko kidogo sana ilhali alitakiwa kuja na timu mpya huu ni muendelezo wa Magufuli wala hasafishwi kirahisi kaacha bunge la hovyo kupata kutokea ndio maana husikii yoyote akipaza sauti.
Ndio maana tunademand katiba mpya rais akifa baada ya siku 90 uchaguzi ufanyike upya na bunge livunjwe.
A huo utekaji unalenga nini?🥲Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!
Baada ya Kifo cha Magufuli wengi walisema kuwa watu hawatopotea wala kusemekana kutekwa kwa kuwa watu wako huru sana na wengi walikuwa wakisema Magufuli ndio alikuwa ana agiza watu hao kutekwa na kupotezwa!
Lakini sasa matukio haya yanaonekana kuonekana tena kwa kasi ya ajabu sasa ni wazi kuna uwezekano mkubwa Magufuli alisingiziwa au Polisi wanasingiziwa!
Cha kujiuliza nani ana husika kwenye haya?
View attachment 3046529View attachment 3046531View attachment 3046533
Pia soma:Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati
Kabla ya Magufuli hakukuwepo haya matukio?Nami nina mawazo kama yako. Kwani watu wanashindwa kujiuliza, mangapi yameigwa ya mwendazake? Wanashindwa nini kuiga na hili, ili kunyamazisha watu.
Swali nalouliza mimi. Ile sheria ya kuwawekea kinga, ilikuwa maandalizi yake haya ama kuna mengine makubwa yaja?
YAlikuwepo mbnKabla ya Magufuli hakukuwepo haya matukio?
Kama yalikuwepo, si ya kutishia usalama wa kila mtu hivi. Awamu iliyopita na hii zimevunja rekodi. Inaweza kuwa ndiyo aina yao, ila hii imezidi.Kabla ya Magufuli hakukuwepo haya matukio?
Hauko mbali na nilichomaanisha idara ya usalama kuwekwa chini ya ofisi ya rais na oparesheni zake zote na ripoti , mkurugenzi kuripoti kwa rais moja kwa moja .Nami nina mawazo kama yako. Kwani watu wanashindwa kujiuliza, mangapi yameigwa ya mwendazake? Wanashindwa nini kuiga na hili, ili kunyamazisha watu.
Swali nalouliza mimi. Ile sheria ya kuwawekea kinga, ilikuwa maandalizi yake haya ama kuna mengine makubwa yaja?
Inaonekana una umri mdogo.Kama yalikuwepo, si ya kutishia usalama wa kila mtu hivi. Awamu iliyopita na hii zimevunja rekodi. Inaweza kuwa ndiyo aina yao, ila hii imezidi.
Au unasemea enzi za Babu Nyerere? Nisaidie ulichokuwa unataka kusema. Nitaelimika nisichokijua. Mimi nimesema ninachokijua.Inaonekana una umri mdogo.
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!
Baada ya Kifo cha Magufuli wengi walisema kuwa watu hawatopotea wala kusemekana kutekwa kwa kuwa watu wako huru sana na wengi walikuwa wakisema Magufuli ndio alikuwa ana agiza watu hao kutekwa na kupotezwa!
Lakini sasa matukio haya yanaonekana kuonekana tena kwa kasi ya ajabu sasa ni wazi kuna uwezekano mkubwa Magufuli alisingiziwa au Polisi wanasingiziwa!
Cha kujiuliza nani ana husika kwenye haya?
View attachment 3046529View attachment 3046531View attachment 3046533
Pia soma:Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati
Una takwimu [zenye chanzo] zinazoonyesha kwamba sasa hivi hayo mambo yamezidi kuliko ilivyokuwa zamani [however you define zamani].Au unasemea enzi za Babu Nyerere? Nisaidie ulichokuwa unataka kusema. Nitaelimika nisichokijua. Mimi nimesema ninachokijua.
Naweza kujibu hivi awamu ya kwanza siwezi isemea, ya pili nilikuwa mdogo sn kujua chochote. Ya 3 huenda kuna waliopotea ila kupata taarifa ikawa ngumu, sasa hivi kuna utandawazi. Ni rahisi, habari kusambaa kwa haraka. Ya 4 hatukusikia sana. Ya 5, na hii hali ndiyo hii!.Una takwimu [zenye chanzo] zinazoonyesha kwamba sasa hivi hayo mambo yamezidi kuliko ilivyokuwa zamani [however you define zamani].
Kwa mfano, unaweza kusema kwa awamu ya kwanza mpaka ya nne, kulitokea matukio kama hayo mawili tu?
Tatizo linakujq pale ambapo vijana wenye mrengo wa vyama vya upinzani ndio pekee wanaopotea ama kutekwa.Katika watu milioni 6o+ watu 10 kutoweka kila siku kwasababu mbalimbali na ndugu wasijue walipo ni jambo la kawaida.
Kitu kinachoshitusha ni kufanya matukio hayo kuwa ajenda ya kitaifa kiasi cha kuzusha hofu isiyo ya msingi.
Hizi ni njama za sukuma gang, wanataka kumchafua mama. Mama ana madhaifu mengine lkn kamwe hataki, hapendi na hafanyi utekaji. Jiwe aliunda kikundi cha wasiojulikana, na akawa anakitumia kuteka watu.
Kama nakuelewa vizuri ni kwamba, Sukuma gang wana nguvu kuvizidi hadi vyombo vya dola; yaani jambo likifanywa na Sukuma gang police, usalama wa taifa etc hawawezi kabisa kuchunguza. Is that what you meant bro?