Pre GE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nadhani imefika mahala, kama ww ni mTanzania mwenye fikra za ku-dissent na serikali kwenye maamuzi mengi wanayoyafanya , ni vyema ukahamisha familia yako nchi nyingine maana utawasumbua
 
Hizi ni njama za sukuma gang, wanataka kumchafua mama. Mama ana madhaifu mengine lkn kamwe hataki, hapendi na hafanyi utekaji. Jiwe aliunda kikundi cha wasiojulikana, na akawa anakitumia kuteka watu.
Hata mimi nahisi ivo aisee mana Sioni kama hio inahaja kuwa agenda ya Kitaifa kama wanavyo weka Public hapa Kuna Njama ya Kuchafua regime iliyopo madarakani
 
Mbona watu wanaenda kwenye tatizo bila kujua chanzo cha tatizo.?

Hawezi kusafishwa kirahisi hivyo hiyo michezo ilianzia utawala wake na rais aliyekuwepo ni makamu wake.

Samia karithi baraza la mawaziri la Magufuli kafanya mabadiliko kidogo sana ilhali alitakiwa kuja na timu mpya huu ni muendelezo wa Magufuli wala hasafishwi kirahisi kaacha bunge la hovyo kupata kutokea ndio maana husikii yoyote akipaza sauti.

Ndio maana tunademand katiba mpya rais akifa baada ya siku 90 uchaguzi ufanyike upya na bunge livunjwe.
Nami nina mawazo kama yako. Kwani watu wanashindwa kujiuliza, mangapi yameigwa ya mwendazake? Wanashindwa nini kuiga na hili, ili kunyamazisha watu.

Swali nalouliza mimi. Ile sheria ya kuwawekea kinga, ilikuwa maandalizi yake haya ama kuna mengine makubwa yaja?
 
S
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!

Baada ya Kifo cha Magufuli wengi walisema kuwa watu hawatopotea wala kusemekana kutekwa kwa kuwa watu wako huru sana na wengi walikuwa wakisema Magufuli ndio alikuwa ana agiza watu hao kutekwa na kupotezwa!

Lakini sasa matukio haya yanaonekana kuonekana tena kwa kasi ya ajabu sasa ni wazi kuna uwezekano mkubwa Magufuli alisingiziwa au Polisi wanasingiziwa!
Cha kujiuliza nani ana husika kwenye haya?

View attachment 3046529View attachment 3046531View attachment 3046533

Pia soma:Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati
A huo utekaji unalenga nini?🥲
 
Nami nina mawazo kama yako. Kwani watu wanashindwa kujiuliza, mangapi yameigwa ya mwendazake? Wanashindwa nini kuiga na hili, ili kunyamazisha watu.

Swali nalouliza mimi. Ile sheria ya kuwawekea kinga, ilikuwa maandalizi yake haya ama kuna mengine makubwa yaja?
Kabla ya Magufuli hakukuwepo haya matukio?
 
Nami nina mawazo kama yako. Kwani watu wanashindwa kujiuliza, mangapi yameigwa ya mwendazake? Wanashindwa nini kuiga na hili, ili kunyamazisha watu.

Swali nalouliza mimi. Ile sheria ya kuwawekea kinga, ilikuwa maandalizi yake haya ama kuna mengine makubwa yaja?
Hauko mbali na nilichomaanisha idara ya usalama kuwekwa chini ya ofisi ya rais na oparesheni zake zote na ripoti , mkurugenzi kuripoti kwa rais moja kwa moja .

Maafisa wa usalama kutokutajwa wakihusika katika matukio yoyote ilikuwa ni maandalizi ya kudeal na wapinzani wa serikali.

Kibaya hasa sheria ile ilipita kiulaini kabisa sababu ya bunge alilolitengeneza Magufuli.

Wengi watasema Magufuli aachwe sijui apumzike ila muasisi na chanzo cha haya yote ni yeye.
 
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!

Baada ya Kifo cha Magufuli wengi walisema kuwa watu hawatopotea wala kusemekana kutekwa kwa kuwa watu wako huru sana na wengi walikuwa wakisema Magufuli ndio alikuwa ana agiza watu hao kutekwa na kupotezwa!

Lakini sasa matukio haya yanaonekana kuonekana tena kwa kasi ya ajabu sasa ni wazi kuna uwezekano mkubwa Magufuli alisingiziwa au Polisi wanasingiziwa!
Cha kujiuliza nani ana husika kwenye haya?

View attachment 3046529View attachment 3046531View attachment 3046533

Pia soma:Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Tusijidanganye watekaji ni Polisi, usalama wa taifa na vikundi ambavyo hata Chadema wamesema wazi vimeundwa. Tatizo ni kujisahaulisha sahaulisha watekaji Chadema waliwataja hapo chini wazi mlifanya nini

View: https://www.youtube.com/live/QbgnvQJLONk?si=NSTOCsIK-p_WoV0R
 
Au unasemea enzi za Babu Nyerere? Nisaidie ulichokuwa unataka kusema. Nitaelimika nisichokijua. Mimi nimesema ninachokijua.
Una takwimu [zenye chanzo] zinazoonyesha kwamba sasa hivi hayo mambo yamezidi kuliko ilivyokuwa zamani [however you define zamani].

Kwa mfano, unaweza kusema kwa awamu ya kwanza mpaka ya nne, kulitokea matukio kama hayo mawili tu?
 
Naweza kujibu hivi awamu ya kwanza siwezi isemea, ya pili nilikuwa mdogo sn kujua chochote. Ya 3 huenda kuna waliopotea ila kupata taarifa ikawa ngumu, sasa hivi kuna utandawazi. Ni rahisi, habari kusambaa kwa haraka. Ya 4 hatukusikia sana. Ya 5, na hii hali ndiyo hii!.
 
Katika watu milioni 6o+ watu 10 kutoweka kila siku kwasababu mbalimbali na ndugu wasijue walipo ni jambo la kawaida.

Kitu kinachoshitusha ni kufanya matukio hayo kuwa ajenda ya kitaifa kiasi cha kuzusha hofu isiyo ya msingi.
Tatizo linakujq pale ambapo vijana wenye mrengo wa vyama vya upinzani ndio pekee wanaopotea ama kutekwa.
 
Kama nakuelewa vizuri ni kwamba, Sukuma gang wana nguvu kuvizidi hadi vyombo vya dola; yaani jambo likifanywa na Sukuma gang police, usalama wa taifa etc hawawezi kabisa kuchunguza. Is that what you meant bro?
Hizi ni njama za sukuma gang, wanataka kumchafua mama. Mama ana madhaifu mengine lkn kamwe hataki, hapendi na hafanyi utekaji. Jiwe aliunda kikundi cha wasiojulikana, na akawa anakitumia kuteka watu.
 
Kama nakuelewa vizuri ni kwamba, Sukuma gang wana nguvu kuvizidi hadi vyombo vya dola; yaani jambo likifanywa na Sukuma gang police, usalama wa taifa etc hawawezi kabisa kuchunguza. Is that what you meant bro?
20240908_151114.jpg
 
Haya mambo yamenifanya mpaka nibadili rangi ya nyumba yangu nipake kijani kwa kujihami
 
Back
Top Bottom