Pre GE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

Pre GE2025 Kwa matukio haya ya watu kupotea na kusemekana kutekwa! Magufuli alionewa? Polisi wanaonewa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
unafikiri kwa upeo wako ni yeye kweli anaetoa maagizo..?
haiwezi kuwa rahisi hivyo kuna jambo linafukuta sisi tunaona matokeo tu!
 
Lakini yeye si ni mpole na tuliambiwa tatizo lilikuwa ni yule Ngosha.

Kwani kabla ya Ngosha ya mambo Yalu kuwepo?
haya mambo yalikuwepo rejea kina Ulimboka na Mvungi.. sasa hivi yametamalaki sana. labda wameongeza kikosi.
 
Dikteta Magufuli alishakufa na kuona.

Aliyepo sasa hivi ni mama mpole na mwenye mapenzi na wanae.

Sasa haya mambo ya kutekwa, kuteswa, na mwishowe kuuwawa yanatokea wapi?
1725795187811.png

Bora ya mtu katili anaejionyesha hadharani kuliko ya shetani anaejinasibu kama malaika kwenye halaiki na kufanya uhaini nyuma ya kivuli.

Akiulizwa anakwambia ni vi drama.
 
Sijaelewa kwa nini umehusisha na Magufuli. Kwamba kuteka kwa Samia kunamsafisha Magufuli. Hii ni akili au matope?
 
View attachment 3090219
Bora ya mtu katili anaejionyesha hadharani kuliko ya shetani anaejinasibu kama malaika kwenye halaiki na kufanya uhaini nyuma ya kivuli.

Akiulizwa anakwambia ni vi drama.
na atashinda kwa asilimia zaidi ya 90 mwakani. Ameshapata user manual kutoka kwa Slender man wa Rwanda. ni kuteka na kuua dissenters na kufungua miradi uchwara mpaka 2030
 
Kwani wakati wa Magufuli ni nani aliyekuwa anatoa maagizo?
sijui,lakini nachojua mara nyingi furushi lolote ukiwa kiongozi lazima utupiwe!.. ipo hivi unapoona kuna mwenye nguvu tambua pia kuna wenye nguvu haya mambo ni siri na wanayajua wenyewe!
sisi hata tusonte kidole ni fulani uhakika hatuna ila wapo wanaojua ni nani, kwanini,wapi na sangapi.
 
na atashinda kwa asilimia zaidi ya 90 mwakani. Ameshapata user manual kutoka kwa Slender man wa Rwanda. ni kuteka na kuua dissenters na kufungua miradi uchwara mpaka 2030
At what expense? Damu za watu zitamuandama mpaka kuzimu yake.
 
Dikteta Magufuli alishakufa na kuona.

Aliyepo sasa hivi ni mama mpole na mwenye mapenzi na wanae.

Sasa haya mambo ya kutekwa, kuteswa, na mwishowe kuuwawa yanatokea wapi?
Hatuna budi kwenda kuhani ba kuomba radhi kwenye malalo ya Magufuli.
 
Haya mambo yalikiwepo hata kabla ya JPM...

Ile amsha amsha ya JPM basi watu wenye chuki naye wakampenyezea kuwa yeye JPM ana mkono wa chuma...

Kuna mwandishi wa habari Iringa aliuawa hadharani na haikiwa wakati wa JPM...
 
Bila shaka kila mmoja wetu anajua kinacho endelea kuhusu matukio ya watu kupotea na kusemekana kutekwa na watu wasiojulikana yanayoendelea sasa hivi sasa na wengine wakilituhumu jeshi la polisi na wengine wakisema ni wahalifu wanafanya hivyo kuichafua serikali!

Baada ya Kifo cha Magufuli wengi walisema kuwa watu hawatopotea wala kusemekana kutekwa kwa kuwa watu wako huru sana na wengi walikuwa wakisema Magufuli ndio alikuwa ana agiza watu hao kutekwa na kupotezwa!

Lakini sasa matukio haya yanaonekana kuonekana tena kwa kasi ya ajabu sasa ni wazi kuna uwezekano mkubwa Magufuli alisingiziwa au Polisi wanasingiziwa!
Cha kujiuliza nani ana husika kwenye haya?

View attachment 3046529View attachment 3046531View attachment 3046533

Pia soma:Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati
Mlikuwa mkisema Africa kusini ni violence country , ila afadhali wanaofanya uhalifu wanaonekana mtaani kuliko hiki kinachoendelea Kwa kificho aieleweki ni siasa, vikundi vya kiarifu au ni nn
 
Back
Top Bottom