Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongoz samahan je nikitak kufungua duka la jumla natakiw niwe na mtaji kuanzia kias gan, na je location inatakiwa iweje.Mi Niko field wewe haupo field unasikia maneno tu,haipo hivyo,mm Nina duka la jumla nawauzia wa mtaani mchana kweupe
Inategemea demand ya wateja,minimum 30 mill unaweza kuanza,Kwa maana 20mil inabaki Kwa duka 10mil inakuwa inazunguka,location tafuta eneo ambalo hakuna wenye mitaji mikubwa sana na ambalo Kuna wateja wa kununua wenye mitaji midogo usiogope,Kuna maeneo hata ukiwa na 15 mill unaweza kuuza jumla,pia mtaji uaminifu Kuna makampuni wanaleta Mali baada ya siku mbili au tatu wanaijia hela.if u dream it start don't wait much for the right moment,probably the right moment won't comeKiongoz samahan je nikitak kufungua duka la jumla natakiw niwe na mtaji kuanzia kias gan, na je location inatakiwa iweje.
VI)Faida yake ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zingine,faida hii inatokana na mauzo ukilinganisha na muda,mfano muuzaji wa magari Kwa mwezi mzima anaweza kuuza magari 5 na akapata faida ya 5mill @ car Kwa mwezi akatengeza faida ya 25 mill,muuzaji wa duka anaweza akawa anauza 20mill Kwa siku na faida ni 5% =1000000 so Kwa mwezi akapata 30 mil.
DooohV)Hutakiwi kuwa na mtaji mkubwa sana kuanza,unaweza kuanza na mtaji mdogo ukaukuza taratibu mfano laki Tano inatosha kuanza na bidhaa mhimu kama sukari,chumvi,mafuta kula,sabuni n.k ukiwa na nidhamu mtaji utajua na unaweza kuaminika ukakopesheka pia.
Ndugu kafute ile sehemu umesema laki tano unaweza anza. Ule ni uwongo. Kafute tu.Inategemea demand ya wateja,minimum 30 mill unaweza kuanza,Kwa maana 20mil inabaki Kwa duka 10mil inakuwa inazunguka,location tafuta eneo ambalo hakuna wenye mitaji mikubwa sana na ambalo Kuna wateja wa kununua wenye mitaji midogo usiogope,Kuna maeneo hata ukiwa na 15 mill unaweza kuuza jumla,pia mtaji uaminifu Kuna makampuni wanaleta Mali baada ya siku mbili au tatu wanaijia hela.if u dream it start don't wait much for the right moment,probably the right moment won't come
Nikuoneshe kuwa inatosha kuanza?Ndugu kafute ile sehemu umesema laki tano unaweza anza. Ule ni uwongo. Kafute tu.
Ulianza mkoa gani biashara ya jumla kwa laki na sabini.Nikuoneshe kuwa inatosha kuanza?
Sukari kg 25=75000
Mafuta Lt 10=40000
Sabuni mche 2=25000
Kiberiti 1=5000
Wembe 1=5000
Sembe kg25=30000
Sabuni unga 4=85000
Kalamu,daftari tenga 40000
Mafuta ya kupaka tenga 80000
Juis na soda 100000
Duka linaanza,kazi kuwasoma wateja wanapendelea nn,mm siku naanza biashara Kwa mtaji wa 170000 nilipanga Mali huku nimefunga mirango ya kibanda nikiwa naona aibu Kwa watu kwani wataniona mwehu Kwa kuanza kibanda Kwa kuwa na vitu vichache sana,lakini nilivyomaliza kupanga nilifungua mirango nikaanza,niliishinda aibu ya kuanzia chini,nawewe nakushauri ishinde aibu ya kuanzia chini
Shukran sana mkuu hio ni ndoto yang , saiv nataka nikusanye capital atleast mwez 6 mwaka huu nianze, mkuu uko wapi wew maan nategemea nianze kw DarInategemea demand ya wateja,minimum 30 mill unaweza kuanza,Kwa maana 20mil inabaki Kwa duka 10mil inakuwa inazunguka,location tafuta eneo ambalo hakuna wenye mitaji mikubwa sana na ambalo Kuna wateja wa kununua wenye mitaji midogo usiogope,Kuna maeneo hata ukiwa na 15 mill unaweza kuuza jumla,pia mtaji uaminifu Kuna makampuni wanaleta Mali baada ya siku mbili au tatu wanaijia hela.if u dream it start don't wait much for the right moment,probably the right moment won't come
Tatzo duka likiwa na madirisha mengi mtu hataman pia kuja anaona hamna maliKwenye duka lolote Kuna Mali za chini na Mali za kwenye ngazi,Kwa wanaofanya biashara ya duka wote concetration kubwa Huwa kwenye Mali ya chini na ndiyo inabeba mtaji mkubwa na ndiyo inayouzika haraka pia faida yake ni kubwa.
Kwa anaeanza duka hana budi kuzingatia Hilo,lazima ukomae na Mali ya chini ambayo itakusaidia kununua Mali ya kwenye ngazi Kwa baadae
Wewe utakuwa ni maskini kweli kwa mawazo haya tu inaonekana huwezi hata biashara ya genge.VI)Faida yake ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zingine,faida hii inatokana na mauzo ukilinganisha na muda,mfano muuzaji wa magari Kwa mwezi mzima anaweza kuuza magari 5 na akapata faida ya 5mill @ car Kwa mwezi akatengeza faida ya 25 mill,muuzaji wa duka anaweza akawa anauza 20mill Kwa siku na faida ni 5% =1000000 so Kwa mwezi akapata 30 mil.
Nafatilia huu Uzi kwa makini sana, naomba unipe mfano mali za chini ni kama zipi?, na za juu ni kama zipi? Usichoke kaka, achana na wanaopuuza.Kwenye duka lolote Kuna Mali za chini na Mali za kwenye ngazi,Kwa wanaofanya biashara ya duka wote concetration kubwa Huwa kwenye Mali ya chini na ndiyo inabeba mtaji mkubwa na ndiyo inayouzika haraka pia faida yake ni kubwa.
Kwa anaeanza duka hana budi kuzingatia Hilo,lazima ukomae na Mali ya chini ambayo itakusaidia kununua Mali ya kwenye ngazi Kwa baadae
Uko sahihi sana mkuuMali za chini nikama , mchele, sugar, maharage, unga na vingne mfano wa hivo, mali za juu nikama mafuta yakupa, miswaki, navingne kam ivo.
Asntn sana. Wewe utakuwa role model wangu, usinichoke kaka.Uko sahihi sana mkuu