Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

Kikulacho ki nguoni mwako... Kabila alidunguliwa na chawa wake
Nilitamani uandike kuhusu tunguli maana ndio fani yako, huku kwingine hupawezi mkuu! Tofautisha Kabila era, na wakati huu...hata poronium ya aina Mwaky haitumiki tena!
 
Ukwapuzi nyumba za Serikali, ununuzi wa kivuko uozo bilioni 8, 6.5 trillions kwenye ripoti za CAG hazijulikani zilikopotelea na nduli wa chato kagomea ofisi ya CAG ifanye audit. Unadhani ni kwanini kagomea audit kama hakuna madudu ya kutisha!? Je, huyu ni mwizi na fisadi!?

 
Kuwa serious achana na 'chai' hizo. Kwani mbona huyu kaenda Malawi ziarani usiku kaenda mganga

Chuki kwa lipi? Hakuna jambo linasonga hiyo chuki inatoka wapi? Zaidi wanaona inatisha tu kuharibu Taifa. Yani leo Wakina Msekwa wawe na wivu huku wakina Rostam ndio wazalendo wanaokunywa chai white house
 
Hatari kwa hiyo watu wakitaka kugombea Urais ndani ya chama,2020 au 2025 basi ni maadui anahitaji ulinzi?
 
Siku hizi ccm imepata watetezi wengi sana kuliko wakosoaji mana wale tuliowategemea kukikosoa hiki chama ndio wamekuwa watetezi hata maovu ya mheshimiwa hawayaoni hasa mleta madalakani hii
Hilo zee limekuwa jinga kweli siku hizi
 
Wakati ule Makonda aliharibu kule Clouds fyekeo likamgeukia Nape. Leo kaharibu Musiba na makatibu wa zamani wamelalamika fyekeo limemla January.
Kuna vijana wanafaidi, wana ulinzi usioonekana hadi wakiitwa bungeni wanaingia na silaha hakuna wa kuuliza. Wanampa nini hadi hashtuki?
 
Ulinzi mkali kwasababu yeye anateka Watanzania na Kutwanga risasi wapinzani na vilevile kuua demokrasia
 

Umejiuliza mkuu chanzo cha hao maadui wengi au wa karibu yake, kwanza kwa madaraka yale lazima awe na maadui wa karibu na mbali pia jingine labda kuna tabia za bwana mkuu zinahimiza maadui wengi kwa sasa kujitokeza na kubwa ni moja tu kudhibiti watu na hali sasa binaadam hajazoea hilo la kubanwa huko kuwe kuna sababu za msingi au hapana watu wataibuka wengi tu na pili namna anavyoendesha mambo mnasema ‘one man show’ wengine hawaoni kama hilo ni sahihi na hasa wale waliopigana ili yeye na chama chake wawe hapo
 
JW sijui pakoje.
Bado TISS.

Pia nafikiri itakuwa vigumu sana kwa jiwe kwenda ziarani nje ya bara la afrika.
Wewe unasema nje ya Bara la Afrika??

Kwenda mkoani Morogoro tu hapo itakuwa shughuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…