Naomba pia uzingatie neno "nahisi".Hujui unacho kiropoka sasa
Kweli ulinzi mkali kabisa unahitajika, aongeze zaidi ulinzi, kuanzia, hasa katika safari zake zote, hata ktk ndege zake aongeze ulinzi kote yaani, sbb kumbe maadui zake ni watu wakubwa wastaafu walioshika madaraka makubwa.. Kupambana na maadui kama hawa kweli unahitaji kutumia njia zote kushinda. Naunga mkono hoja aongeze ulinzi mkali kabisa
Naanza kuwa na wasiwasi na ubongo wako...Hivi Magufuli ulinzi wake ni mkali kushinda wa waliomtangulia?
Sio dikteta bali hayupo pale kumfurahisha kila mtu kama mlivyozoea, hilo ndilo mnatakiwa muelewe na ndio tofauti ya Magu na JK.Ulinzi ni mkali kwa sababu bwana yule alishajipambanua kuwa ni mtu wa visasi, chuki, na roho mbaya.
Grand corruption "ki richmond richmond, akachube and the like, ki madi madini, , kigambo gamboni" kimdumange na kigodoroHakuna lolote, yani kusiwe na ushindani wa kisiasa? Watu kutaka tu kugombea 2020 nayo inaonekana ni sababu ya mtu kujiongezea ulinzi? Watu wasikosoee?
Basi hakuna haja ya demokrasia. Hivi JK alivyokuwa anakosolewa na hata kutaka kupokonywa kiti ndani ya chama na Edo naye angesema aongezewe ulinzi.
Tusidanganyane, tusitafute kichaka cha kijifichia. Tumekwama kama Taifa, mtu kaharibu mambo wazalendo wanaona sasa inatosha hali hii haiwezi kwenda miaka 10. Kujenga ni kazi ngumu na ya muda mrefu kubomoa ni kazi kidogo sana.
Biashara vilio, kilimo huko ni vilio, uchumi hoi, watumishi hoi, mwaka wa tano huu tunazungumzia Stigler na SG ambao mpaka tukope ndio tujisogezee . Nini cha kujivunia kama Taifa?
Kuzungumza tu ktk mazingira ya kidemokrasia tayari ni uadui? IPO shunghuli.Kweli ulinzi mkali kabisa unahitajika, aongeze zaidi ulinzi, kuanzia, hasa katika safari zake zote, hata ktk ndege zake aongeze ulinzi kote yaani, sbb kumbe maadui zake ni watu wakubwa wastaafu walioshika madaraka makubwa.. Kupambana na maadui kama hawa kweli unahitaji kutumia njia zote kushinda. Naunga mkono hoja aongeze ulinzi mkali kabisa
Tusiowajua = Wasiojulikana = Wapo TISS chini ya Bashite kama coordinator! Acheni kukuza mambo! Kwavile Jiwe na Timu yake Madhalimu ndo wanadhani kila mmoja ni madhalimu kama wao! Hakuna mwenye haja ya kumuua Jiwe, manake watu kama hao wangekuwepo, wangeanza na Bashite!!..itakuwa vipi kwa Wale wengine tusiowajua?
Vipi Bwana akiulinda mji?
YesHivi Magufuli ulinzi wake ni mkali kushinda wa waliomtangulia?
Kweli ulinzi mkali kabisa unahitajika, aongeze zaidi ulinzi, kuanzia, hasa katika safari zake zote, hata ktk ndege zake aongeze ulinzi kote yaani, sbb kumbe maadui zake ni watu wakubwa wastaafu walioshika madaraka makubwa.. Kupambana na maadui kama hawa kweli unahitaji kutumia njia zote kushinda. Naunga mkono hoja aongeze ulinzi mkali kabisa
Walomtangulia ndio Nyerere, regardless, zama zishabadilika.
Sijui kuhusu quantity au quality ya ulinzi lakini visibly ulinzi wa Magufuli unaonekana umezidi sana kwa watangulizi. Sikumbuki kuona watu na bunduki wakiwa na Kikwete
HahahahhhhMwenyewe alishasema sababu kubwa ya kutokutana na viongozi wa vyama vya siasa shindani ni kuwa anaamini watamchinja na kumtupa baharini!.
Leo wastaafu wamekua mafisadi, kazi ipo!!
Vijana anaowategeneza ni wa Ovyo sana, Linatengenezwa Taifa la kusifia na kujipendekeza ili mtu apate Cheo/madaraka, Taifa lisilo taka mwenye Mamlaka kukosolewa..
Trump ni dikiteta?
Ibambasi huko humu???Bavicha tulia