Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hata last season tulialika timu ngumu na tulipoteza. Ila moto mliuona. Le professor keshachagua kikosi cha maangamizi sasa hiviAcha ww umesahau ule.msimu mlialika timu ya wa burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata last season tulialika timu ngumu na tulipoteza. Ila moto mliuona. Le professor keshachagua kikosi cha maangamizi sasa hiviAcha ww umesahau ule.msimu mlialika timu ya wa burundi
Hawa VIPERS ni watu wa ajabu Sana wamealikwa na kugharamiwa na YANGA halafu wanawapa FURAHA SIMBA.
Kweli kabisa hata mwaka jana Yanga ilialika timu ngumu na kubwa Ya Zanaco fc tena yenye striker hatarii barani Afrika Kelvin Kapumbu Simba wao wakajifariji kwa kuwaalika timu nyepesi kabisa na dhaifu TP Mazembe ya hapo CongoUzuri wa Yanga hawaaliki timu mbovu ili kufurahisha mashabiki kama simba.
Tukutane Aug. 13 ndo mtajua nani amesajili vizuri
Ni maombi yangu mcheze hibi hivi na izi beki zenu kama huyj Joyce akutane na mtu kama shomi the way, POS, Okrah Okwaa eiiiiiiiii mtapoteanaaaa
Wale wa burundi wakuitwa ugenumo sijui kisha mkaleta zanaco ...izo timu zote mbili hazikucheza hata makundi CAFHata last season tulialika timu ngumu na tulipoteza. Ila moto mliuona. Le professor keshachagua kikosi cha maangamizi sasa hivi
Kweli unayoyasema ila watakuwa wamemuonea maana ya kulazimisha pre season iwe kimbiji ndiyo hayoAssume hapo mnacheza na Orlando Pirates au Kaizer chief alafu kiwango chenu ndio hiki aiseee msimu huu lzm Nabi mtamfukuza nyieee
Iliwachukua simba miaka mingi kujenga fear factor kwamba kwa mkapa hatoki mtu,hicho kitu kimewasadia ambacho nyinyi yanga bado hamna ndio maana timu zinacheza kwa mkapa (Tanzania) zikiwa relaxed kitu ambacho mnahitaji kukibadirisha ili muanze kufanikiwa issue sio kibu wala mugalu ni issue ya ubora wa kikosi na saikolojia.Nyie mlitoboa vip striker akiwa kibu na mugalu
Kama bahasha za kaki zinatumika kuwanunua mpaka mbumbumbu wenyewe ni jambo jema sana
Mlipasuka mara ngap hapo hapo kwa mkapa tena na timu dhaifu.Iliwachukua simba miaka mingi kujenga fear factor kwamba kwa mkapa hatoki mtu,hicho kitu kimewasadia ambacho nyinyi yanga bado hamna ndio maana timu zinacheza kwa mkapa (Tanzania) zikiwa relaxed kitu ambacho mnahitaji kukibadirisha ili muanze kufanikiwa issue sio kibu wala mugalu ni issue ya ubora wa kikosi na saikolojia.
Kukamiana huko broo usitegemee anaejua kanuni za mashindano kwamba atashindana na wewe, yanini umtoe roho bure ashindwe kufanya makubwa kwasababu ya wewe, utapishwa tu kama upepo wa kimbunga ila tunataka tuone ukamie mechi za caf cl kama unavyoikamia Simba.Uzuri wa Yanga hawaaliki timu mbovu ili kufurahisha mashabiki kama simba.
Tukutane Aug. 13 ndo mtajua nani amesajili vizuri
Kama huna data na hujui mpira bora usiongee broo, zanaco aliishia makundi, kwenye mechi za confederation, amepiga mechi zake sita safari yake ikaishia hapo, TP MAZEMBE amecheza nusu fainali na rs bekane usijitoe ufahamu sasa hapo sijui nani alialika timu mbovu.Kweli kabisa hata mwaka jana Yanga ilialika timu ngumu na kubwa Ya Zanaco fc tena yenye striker hatarii barani Afrika Kelvin Kapumbu Simba wao wakajifariji kwa kuwaalika timu nyepesi kabisa na dhaifu TP Mazembe ya hapo Congo
Jifunze kujiongeza.Ka
Kama huna data na hujui mpira bora usiongee broo, zanaco aliishia makundi, kwenye mechi za confederation, amepiga mechi zake sita safari yake ikaishia hapo, TP MAZEMBE amecheza nusu fainali na rs bekane usijitoe ufahamu sasa hapo sijui nani alialika timu mbovu.
Nimekuelewa vizuri we mwenzangu.Jifunze kujiongeza.