Kwa mchezo huu YANGA, msahau CAF CL

Kwa mchezo huu YANGA, msahau CAF CL

Uzuri wa Yanga hawaaliki timu mbovu ili kufurahisha mashabiki kama simba.

Tukutane Aug. 13 ndo mtajua nani amesajili vizuri
Kweli kabisa hata mwaka jana Yanga ilialika timu ngumu na kubwa Ya Zanaco fc tena yenye striker hatarii barani Afrika Kelvin Kapumbu Simba wao wakajifariji kwa kuwaalika timu nyepesi kabisa na dhaifu TP Mazembe ya hapo Congo
 
Ni maombi yangu mcheze hibi hivi na izi beki zenu kama huyj Joyce akutane na mtu kama shomi the way, POS, Okrah Okwaa eiiiiiiiii mtapoteanaaaa

Unavyowataja mtu anaeza zani niwachezaji[emoji3][emoji3]hao siwamepigwa juzi tu na team ya championship misri?..au ndo ile binadamu tumeubwa kusahahu
 
Hata last season tulialika timu ngumu na tulipoteza. Ila moto mliuona. Le professor keshachagua kikosi cha maangamizi sasa hivi
Wale wa burundi wakuitwa ugenumo sijui kisha mkaleta zanaco ...izo timu zote mbili hazikucheza hata makundi CAF
 
Assume hapo mnacheza na Orlando Pirates au Kaizer chief alafu kiwango chenu ndio hiki aiseee msimu huu lzm Nabi mtamfukuza nyieee
Kweli unayoyasema ila watakuwa wamemuonea maana ya kulazimisha pre season iwe kimbiji ndiyo hayo
 
Nyie mlitoboa vip striker akiwa kibu na mugalu
Iliwachukua simba miaka mingi kujenga fear factor kwamba kwa mkapa hatoki mtu,hicho kitu kimewasadia ambacho nyinyi yanga bado hamna ndio maana timu zinacheza kwa mkapa (Tanzania) zikiwa relaxed kitu ambacho mnahitaji kukibadirisha ili muanze kufanikiwa issue sio kibu wala mugalu ni issue ya ubora wa kikosi na saikolojia.
 
Mlipasuka mara ngap hapo hapo kwa mkapa tena na timu dhaifu.
 
Uzuri wa Yanga hawaaliki timu mbovu ili kufurahisha mashabiki kama simba.

Tukutane Aug. 13 ndo mtajua nani amesajili vizuri
Kukamiana huko broo usitegemee anaejua kanuni za mashindano kwamba atashindana na wewe, yanini umtoe roho bure ashindwe kufanya makubwa kwasababu ya wewe, utapishwa tu kama upepo wa kimbunga ila tunataka tuone ukamie mechi za caf cl kama unavyoikamia Simba.
Mmekua na utamaduni kwamba bora mkose ubingwa ila sio kufungwa na simba, kitu ambacho kwa timu yenye malengo makubwa haiangalii mechi moja, yuko wapi Balama kwasababu za kukamia mechi tangu apate jeraha kwenye mechi ya simba na yanga mpaka leo amepotea kwenye game.Yanga imekua ikicheza mpira wa hovyo sana rafu za makusudi yani unaacha mpira unafata mguu wa mtu makusud sasa yanini utuvunjie wachezaji wakati malengo ya timu sio yanga pekee pita vilee shinda ngao yako twende caf cl tutajua tu, na kuna hatihati mkakutana na st George hapo ndipo mtakapojua kwamba sio timu ndogo kamavile mnavyowadanganya mashabiki wenu kwa lengo la kuficha ubovu wa timu.Tusubiri muda utaongea tu hakuna haja ya mabishano na tulishakubaliana kwamba derby sio simba vs yanga tena mbona mnarudisha?mlishasema kwasababu Simba ni mbovu sasaivi derby ni Azam vs Yanga.
 
Ka
Kweli kabisa hata mwaka jana Yanga ilialika timu ngumu na kubwa Ya Zanaco fc tena yenye striker hatarii barani Afrika Kelvin Kapumbu Simba wao wakajifariji kwa kuwaalika timu nyepesi kabisa na dhaifu TP Mazembe ya hapo Congo
Kama huna data na hujui mpira bora usiongee broo, zanaco aliishia makundi, kwenye mechi za confederation, amepiga mechi zake sita safari yake ikaishia hapo, TP MAZEMBE amecheza nusu fainali na rs bekane usijitoe ufahamu sasa hapo sijui nani alialika timu mbovu.
 
Jifunze kujiongeza.
 
Ukiwa na akili hubishani kwa maneno, bishana kwa hoja na uthibitisho.
 
Attachments

  • 20220810_042201.jpg
    20220810_042201.jpg
    45.4 KB · Views: 5
  • 20220810_042318.jpg
    20220810_042318.jpg
    85.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom