Sema kweli? π€£ndiyo kaingia leba
unaweza ukanipisha kidogo πππ€£π€£π€£ Wifi nakuona kwenye kitengo chako pendwa
Unapiga k vant afu unanisingizia Mimiu
unazidi kunichanganya ujue
nilienda koga mweeeeπππwe nawe pm iko ofu sasaUmerudi wii? Au ndo ulienda pm π
Koh koh koh πππFamilia huyo hana shida, itakua kubadilisha nguo yupo pm anajitetea soon atarudi
Hv umemuelewa vzr au na ww k vant inakuingia Taratibu?Wapi upo? Unataka kuntisha bro Winga huna lolote π€£π€£π€£
sijalewa mi nafanya kusudi,,,ila ipo siku nitalewaUnapiga k vant afu unanisingizia Mimi
Ukilewa usichati maana kuandika neno 'unanisingizia' kidogo yataka moyo
Naijua hiyo ohhh π€£nilienda koga mweeeeπππwe nawe pm iko ofu sasa
Njombe au G city?huku highlands aloooh ππΎππΎππππ
πππ ushaniona lena wa pombe?Hv umemuelewa vzr au na ww k vant inakuingia Taratibu?
kwaio huniamini ila unajiamini mwenyewe ππNaijua hiyo ohhh π€£
Punguza ulanzi mdogo wangusijalewa mi nafanya kusudi,,,ila ipo siku nitalewa
ππ Njombe mwaegoNjombe au G city?
nimeacha kabisa,,sasa natumia chimpumu na togwa kakaPunguza ulanzi mdogo wangu
Nyie niwakilisheni tu huko bar, mi nikigusa tu siku ya pili kama naumwa hv afu kama naskia Watu wanaimba pembeni yangu πΆnyashi nyashi na nyasiioo buresio bulisio sumorio sumilioooo πΆ nyaaaaaasi nyanshiπππ ushaniona lena wa pombe?
Hapo umenipiga kanzu aloo πππkwaio huniamini ila unajiamini mwenyewe ππ
basi niamini ata kiduchu tu ππ tafadhalHapo umenipiga kanzu aloo πππ
Hapo sawa ile baridi ya hapo naimanya vere weli, unaweza kuganda mpk mwenyewe. π€£π€£π€£ππ Njombe mwaego