Kwa mechi hizi zilizobaki unampa nani ubingwa wa Premier League?

Kwa mechi hizi zilizobaki unampa nani ubingwa wa Premier League?

Arsenal ana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwakua ndio anaongoza ligi kwa points 8 vile vile ana mechi na City ambayo anaenda kuongeza tofauti kufikiab11 kabla mwezi huu kuisha ambapo Arsenal atakua kabakiza mechi 4 huku atakua akihitaji point 6 tuu kati ya points 12 kwamaana hiyo Arsenal anaenda kutwaa ubingwa na tiketi za mechi ya Mwisho dhidi ya Wolves zinauzwa kwa gharama kubwa ili watu washuhudie kombe linavyokabidhiwa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Umefafanua vizuri, tusubirie mwisho wa msimu utakuaje
 
Naona mmeanza ramli mpya. Kuna wenzenu walishasema hatmaliza mechi 10, mara dec, mara feb leo tupo April umeibuka wewe.

Haya endelea na ramli
 
Katika hizo mechi za Arsenal zilizobaki ana kugingi cha kupata point kwa Brighton, Newcastlena Southampton hizi mechi anaweza poteza point asipokua makini hizo nyingine zilizobaki amapata point bila shida ma namuona kwenye nafasi ya kubeba ubingwa.

Same kwa Man City mechi yake na Brentford ndio inaweza kuwa ngumu kwake. Sion kipara akibeba msimu huu.
Arsenal ana game na Man City Etihad, hiyo kwangu ndio kigingi haswa..

Hao Newcastle, Southampton, na Brighton hawanisumbui sana.
 
Haya asernal Wana mech Tisa, man city Wana mech kumi, tufanye hivi Ili mambo yasiwe mengi kila mtu ashinde mechi zake halafu FA wao wataamua wa kumpa kombe, hata sisi asernal hatuna shida nalo, tumekomaa kugawa kichapo, kesho pasaka pilau na jogoo la pale anfield litahusika
 
Back
Top Bottom