Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila mtu ashinde zakeHaya asernal Wana mech Tisa, man city Wana mech kumi, tufanye hivi Ili mambo yasiwe mengi kila mtu ashinde mechi zake halafu FA wao wataamua wa kumpa kombe, hata sisi asernal hatuna shida nalo, tumekomaa kugawa kichapo, kesho pasaka pilau na jogoo la pale anfield litahusika
Walimu wako walipata sana shidaNaona mmeanza ramli mpya. Kuna wenzenu walishasema hatmaliza mechi 10, mara dec, mara feb leo tupo April umeibuka wewe.
Haya endelea na ramli
Nakubali🤣🤣Arsenal hatuna mech ngumu
Somo zuri sana hiliArsenal.
Muhimu Arsenal asimruhusu Man City akae pale juu hata kwa tofauti ya pointi moja, wale wana experience.
TabularasaWapinzani wanaogopa kukutana na Arsenal ,wewe unasema tuna ratiba ngumu
Sijui mnavuta bange za wapi
Hili la muhimuHiyo game inaweza ikaisha kwa sare ila itategemea amepata matokeo gani hapo kabla. Ombeeni mpaka mnakutana na Man City muwe na gap kubwa la point
Ukilinganisha mechi zenu na City fixture yenu mlima kidogo ila kwa jinsi mlivyo vizuri msimu huu nyingi mtashinda kiurahisi. Karata yangu bado nampa City wao pia gari lao limewaka.Arsenal hatuna mech ngumu
Wanateseka sanaMashabiki wa manu na chelsea mnataabika sana na aseno?
Hauna akiliLigi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City.
Man City yeye amebakiza mechi 10 wakati Arsenal amebakiza mechi 9.
Haya tuone kila timu imebakiza mechi zipi na baada ya hapo tabiri nani atakuwa bingwa wako.
Hizi ndizo mechi 9 alizobakiza Arsenal;
View attachment 2579541View attachment 2579542
Na hapa chini ni mechi 10 alizobakiza Man City;
View attachment 2579544View attachment 2579545
Ikumbukwe, Arsenal hana tena mechi za Europa League wala FA Cup wakati Man City atakuwa na mechi za Uefa na FA Cup.
Kwangu mimi licha ya ratiba ngumu ya Man City, nampa nafasi kubwa Man City kuibuka na Ubingwa EPL.
Kwani naona kabisa, Arsenal atapoteza dhidi ya Liverpool, Man City na kutoa droo na Newcastle.
Haya lete utabiri wako kutegemea na mechi zilizobaki za EPL...
TabularasaHauna akili