Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Umefafanua vizuri, tusubirie mwisho wa msimu utakuajeArsenal ana nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa kwakua ndio anaongoza ligi kwa points 8 vile vile ana mechi na City ambayo anaenda kuongeza tofauti kufikiab11 kabla mwezi huu kuisha ambapo Arsenal atakua kabakiza mechi 4 huku atakua akihitaji point 6 tuu kati ya points 12 kwamaana hiyo Arsenal anaenda kutwaa ubingwa na tiketi za mechi ya Mwisho dhidi ya Wolves zinauzwa kwa gharama kubwa ili watu washuhudie kombe linavyokabidhiwa
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kwenye hao uliowataja mmoja, kapigwa mmoja katoa sare mmoja alimfunga Arsenal kwa technic ndogo ila mkuu ukaona bora useme kwamba Arsenal anapoteza kwa hao wote [emoji23].
Mwaka huu haikwepeki Arteta anabeba EPL.
Walimu wako walipata sana tabuAnaongoza kwa point 8,punguza mihemko?????
Subiri city acheze kwanza ndio hii thread yako iwe active......
Manyumbu mtaita maji mma mwaka huu,naona mmejificha kwa city
Yah uko sahihiLampard ana rekodi nzuri Sana Vs Man City......kama akimfunga City.. Arsenal wanaweza tangaza ubingwa that day
NakaziaArsenal hawezi mfunga Chelsea home and away ..
Nasema hivi pale anfield jumapili lazima kamasi ziwatoke arsenal ....
Nakubali🫡Arsenal amebakiwa na mechi ngumu kulinganisha na City. Karata yangu nampa Man City kunyanyua kwapa.
8Una uhakika man city tumezidiwa point 5 pekee?
Sijasema anapoteza nimesema anaweza poteza point kati ya hizo mechi asipokua makiniKwenye hao uliowataja mmoja, kapigwa mmoja katoa sare mmoja alimfunga Arsenal kwa technic ndogo ila mkuu ukaona bora useme kwamba Arsenal anapoteza kwa hao wote [emoji23].
Mwaka huu haikwepeki Arteta anabeba EPL.
Arsenal hatuna mech ngumuArsenal amebakiwa na mechi ngumu kulinganisha na City. Karata yangu nampa Man City kunyanyua kwapa.
Arsenal ana game na Man City Etihad, hiyo kwangu ndio kigingi haswa..Katika hizo mechi za Arsenal zilizobaki ana kugingi cha kupata point kwa Brighton, Newcastlena Southampton hizi mechi anaweza poteza point asipokua makini hizo nyingine zilizobaki amapata point bila shida ma namuona kwenye nafasi ya kubeba ubingwa.
Same kwa Man City mechi yake na Brentford ndio inaweza kuwa ngumu kwake. Sion kipara akibeba msimu huu.
Hiyo game inaweza ikaisha kwa sare ila itategemea amepata matokeo gani hapo kabla. Ombeeni mpaka mnakutana na Man City muwe na gap kubwa la pointArsenal ana game na Man City Etihad, hiyo kwangu ndio kigingi haswa..
Hao Newcastle, Southampton, na Brighton hawanisumbui sana.