Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

[emoji23] [emoji23] [emoji23] ati??? Umefilisika??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hufanyi tena biashara [emoji23] [emoji23] ..sasa hawajafuatilia mahali pa biashara tena?
Niliiunganisha kwenye biashara ya mtu mwingine.
 
Hao jamaa wamechangia wamenifilisi na sina hamu nao kabisa
 
hii ndiyo nchi tunayoambiwa ni ya maziwa na asali.....
 
Hiyo mashine ni kwaajili ya wateja wanaofanya mauzo/mtaji kuanzia 14M.
Wewe mbona mauzo yako ni kawaida tu?
 
Hahaha mwanajamvi..umejipanga.Ishort,Tra,police..hata uwe uko vzr kiasi gn hakuachi iviivi...inauma sn.kuona mtu mwenye mtaji mdogo ndio kinala ktk kukamuliwa gawila.
 
Hiyo mashine ni kwaajili ya wateja wanaofanya mauzo/mtaji kuanzia 14M.
Wewe mbona mauzo yako ni kawaida tu?
Ndo hivo kiongozi, mashine ninayo na hela niliyochulia laki tatu niliazima, laki nne na nusu ndo ilikuwa yangu. Nadhani nia ya tra ni kutufanya tutafute njia za kukwepa kodi
 
Ndo hivo kiongozi, mashine ninayo na hela niliyochulia laki tatu niliazima, laki nne na nusu ndo ilikuwa yangu. Nadhani nia ya tra ni kutufanya tutafute njia za kukwepa kodi
Lengo lao lilikuwa kukufilisi tu, labda kuna afisa alikua na visa na ww.
Ila ndo maisha, komaa tu ndg yangu.
 
Mkuuu Kama umefunga biashara unafanya nn sasa Kama hutojali tukutane tupange nn cha kufanya nna kimtaji kidogo na mm
 
Mm baada ya kuona kuwa TRA ni mfilisi nimeamua kufanya online busns, TRA wananisikia tu na faida kwa sasa naiona tofaut na mwanzo
 
Ni upuuzi wa kujengeana chuki MTU kalipa kodi unahangaika nae wa nini wakiacha biashara wote mtachukua kodi wapi
 
Huu ukenge huu, ndio unaharibu nchi!! Mie upande wa bodi ya mikopo labda waje na RPG wanilipue, silipi ng'ooo. Eti wameniewekea na faini, he he heeee! Wanifuate huku kwenye biashara yangu ya mchanga!!
 
yani kuna watu wanafanya watu waendelee kutatuta mbinu kali za kukwepa kodi na shule zitaanzishwa kimya kimya soon
 
Kodi ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, tatizo kwa TRA ni mfumo ukusanyaji mapato na kutokutoa elimu ya kutosha kwa mlipa kodi, yaan wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…