Kiukweli nilisema hapa kama waziri wa fedha hatabadili mfumo wa tra basi wafanyabiashara watafunga biashara zao na serikali itakosa mapato. Binafsi walikomaa na mimi ninunue mashine ya efd mpaka nikanunua lakini kiukweli hata sielewi hii mashine ya efd nafanyia kazi gani. asilimia 90 ya wateja wangu ni wa kununua sigara mojamoja, sabuni kipande kipande, miswaki na dawa za jerojero, soda, juice, maji ,chumvi, mafuta ya kupikia ya kupima, sukari ...jaman hapa ndo biashara yangu na efd ninayo. mteja akinunua biscuit ya 200nimchanie risiti? TRA whatch out! You are going to loose businessman