The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwanza watu msivyo na akili mnashindwa kuelewa kwamba tozo za miamala zinatakiwa kuingiza bil.500 kwa mwaka yaani hadi mwezi wa 6,,unakusanya unapeleka sio kwamba zipo tayari bali zinategemea transactions..Ukimsikiliza Mh. Ndugai unagundua hoja si mkopo tu bali anauliza zile tozo mbona na zenyewe zimepelekwa huko huko ila haisemwi ni madarasa yapi? Kisha kuna swala la 2025 hapo tumia akili yako alikuwa anamaanisha nini.....
Hizo tozo zinafanya Kazi ya kujenga vituo vya afya, maji na madarasa,upungufu wa madarasa kwa primary na secondary ni vyumba 10,000 na hadi sasa Sekondari kwa pesa ya uviko wamejenga 3,000 na 1500 kwa primary.Vinavyosalia vitajengwa taratibu kadiri ya upatikanaji wa pesa kwa kutumia tozo.
Tozo ya pili ni mafuta yenyewe ni maalumu kwa ajili ya barabara Vijijini sasa wapuuzi mko busy kupotosha kwa makusudi au hata hamjui mnachoongea.