Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Ukimsikiliza Mh. Ndugai unagundua hoja si mkopo tu bali anauliza zile tozo mbona na zenyewe zimepelekwa huko huko ila haisemwi ni madarasa yapi? Kisha kuna swala la 2025 hapo tumia akili yako alikuwa anamaanisha nini.....
Kwanza watu msivyo na akili mnashindwa kuelewa kwamba tozo za miamala zinatakiwa kuingiza bil.500 kwa mwaka yaani hadi mwezi wa 6,,unakusanya unapeleka sio kwamba zipo tayari bali zinategemea transactions..

Hizo tozo zinafanya Kazi ya kujenga vituo vya afya, maji na madarasa,upungufu wa madarasa kwa primary na secondary ni vyumba 10,000 na hadi sasa Sekondari kwa pesa ya uviko wamejenga 3,000 na 1500 kwa primary.Vinavyosalia vitajengwa taratibu kadiri ya upatikanaji wa pesa kwa kutumia tozo.

Tozo ya pili ni mafuta yenyewe ni maalumu kwa ajili ya barabara Vijijini sasa wapuuzi mko busy kupotosha kwa makusudi au hata hamjui mnachoongea.

Screenshot_20211228-123159.png

Screenshot_20211228-122821.png

Screenshot_20211228-123004.png

Screenshot_20211228-123447.png

Screenshot_20211228-123724.png
 
Mb-uzi wewe, Samia amekopa trillion 1.3 tu
Hizi ni zile za IMF sio? Kuna nchi pia alienda kuchukua mikopo, sijui ndo zimejumlisha hapo?

Ipo habari kuwa SMZ wanachukua asilimia kadhaa Sasa ya misaada inayoingia kwa Jamhuri, na kwa sababu hiyo, tayari washapokea 4trillion, zinajengwa hospitali kubwa 10, hoteli ya thamani ya bilioni 72 n.k

Kama ndivyo, hizi bado ni zile 1.3t? Misri kule hakupata kitu? Na zile za Scotland za mazingira?
 
Tukimbuke pia kipindi hiki cha pandemic uchumi ulidorora. Hivyo ni halali kwa maza kukopa.
Wengi ni wajinga wanadhani kuendesha Nchi ni sawa na saccos zao.Mama anaingiza alikuta forex reserves imeshuka Sana na kuhatarisha uwezo wa Nchi kuagiza bidhaa Nje.

Baada ya mikopo na kuimarika kwa exports forex ikapanda hadi Shilingi ya Tzn ilipanda dhidi ya dola na investors wakaanza kumiminika ..

Haya mambo ni ya kiuchumi layman hawezi elewa ni kuwapuuza tuu.
 
Hizi ni zile za IMF sio? Kuna nchi pia alienda kuchukua mikopo, sijui ndo zimejumlisha hapo?

Ipo habari kuwa SMZ wanachukua asilimia kadhaa Sasa ya misaada inayoingia kwa Jamhuri, na kwa sababu hiyo, tayari washapokea 4trillion, zinajengwa hospitali kubwa 10, hoteli ya thamani ya bilioni 72 n.k

Kama ndivyo, hizi bado ni zile 1.3t? Misri kule hakupata kitu? Na zile za Scotland za mazingira?
Mikopo ya mama yote hii hapa na mgawanyo wake

Screenshot_20211228-185712.png

Screenshot_20211228-190058.png

Screenshot_20211228-190007.png

Screenshot_20211228-190254.png

Screenshot_20211228-190207.png
 
Lazima tukope kumaliza miradi, wakati JPM anaanzisha mamiradi ya matrilioni tulichekelea bila kujua tutailipiaje, hii ndio njia ya kuilipia sasa
Toka hapo sijawahi sikia tunakopa kumalizia miradi bali kila mkopo ni ujenzi wa madarasa na uviko!
 
Moja ya sababu kwani JPM alikuwa anakopeshwa bila shida ni ufuatiliaji wa fedha makini kwa ukaribu na umadhubuti. Je mama anafuatilia kwa makini au anategemea wakina Juma Mhina Aka PJ eti nae ni DED huko Arusha ndio wafuatilie wajaze financial statement wazipeleke hazina.
 
Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka.

Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni Trillioni 82, kwa maana kwamba kwa miezi 9 mama amekopa Trilioni 10.

Tukienda kwa kasi hii ya mikopo, miaka 4 ijayo mama atakopa Trillioni zaidi ya 50 na kufanya deni la Taifa kufikia Trilioni 120 ama zaidi mwaka 2025.

Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana. Mama hataki kuangalia vyanzo vipya vya kodi, yeye anakimbilia the easy way out, kukopa, kukopa na kukopa.

Hii nchi miaka 60 ya uhuru tunakopa kujenga madarasa, kujenga vyoo kweli? Hata hilo la ujenzi wa vyoo vya shule tunahitaji kukopa? Tukope kufanya vitu vya msingi.

Kuna watu wasema mama ameleta uwazi wa matumizi ya mikopo sio kama Magufuli, naomba tuulizane, kwenye hizo Trillioni 10, tumetangaziwa matumizi ama mgawanyo Trillioni ngapi? Si hizi 1.5 za covid tu za ujenzi wa madarasa? Nyingine 8.5 tunajua zimetumika wapi?
View attachment 2063295
Acheni siasa za maji taka hizo!!kubalini tu meko nafsi imeshaachana mwili!!nitakuwa wa mwisho kuamini hilo kuwa mama ameshakopa trilioni 10, kwa muda huu, lakini hata kama ingekuwa kweli kwa akili zenu mnafikiria hayo mamiradi yote aliyoyaacha shujaa wenu, pesa za kuyaendeleza zinatoka wapi?alianzisha miradi bila kuangalia uwezo wa nchi, yeye anavyoamka tu , anakuja na kitu chake, mfano lile daraja la salender kule lina umuhimu gani wa maana?ni mradi gani mpya wa ma trilioni ya pesa ambayo awamu ya 6, imeunzisha?kama sio hayo ya meko??huyo ndungai alikuwa wapi huko nyuma, kukemea hilo?
Halafu eti kwani awamu ya 5 ilikuwa inakopa pesa?
 
Acha bangi mapato yalisomwa miezi kama 6 had 7 ya mwaka 2016 baada ya kupokea kijiti hapo hatukusikia tena habari za kusomewa mapato TRA baadae wakaanza kusoma kwa mwaka usijisahahulishe bwashee hata kama unamahaba malihemu.
Kwahiyo kwa mfano, gazeti la Mwananchi la tarehe 01/01/2020 lililowakariri maofisa wa TRA wakitoa taarifa ya makusanyo ya robo mwaka ya Oktoba, Novemba na Disemba 2019 haikuwa sahihi? No research no right to speak dogo!
 
Boss, Sasa watanganyika wenzetu hawajui kusema au ndo ushabiki wa Simba na Yanga unawafunga macho? Au hata hayo macho hawana? Au kilichopo ndani ya fuvu hakifanyi kazi kabisa?

$2.29bn ni sawa na tzs 1.3t wanazosema ndizo mama kakopa tu? Tena Kuna mwingine kathubutu kumuita mtu Mbuzi kwamba yeye ni mjuaji zaidi, sijui akiona hii atageukaje!
 
Wewe utakuwa unaishi Sweden sio Tzn,,eti huna uhitaji? Pole Sana ,sio tu Kukopa kujenga madarasa bali huwa kuna Kukopa na kulipia deni la nyuma.

Ni mjinga tuu ndio haelewi maana ya kuwekeza kwenye human resource,hadi leo hii hamuelewi kwa nini hasa Tzn haiendelei mnashindwa kujua tuna nguvu Kazi yenye ujinga isiyo na maarifa wala ujuzi kiasi kwamba hata investors wakija wanakosa watu sahihi.

Kwa akili yako fupi unadhani boom za Japan,China,Ghana,Kenya nk zilitokana na nini labda?
Yaani kujaza wanafunzi madarasani bila kuajiri walimu wa kutosha umejiona ndo una akili, hopeless!!............sisi tumesomea chini ya miti kipindi cha Nyerere na baadaye rais Mwinyi shule zilikuwa na walimu na bado tulipata maarifa na kufaulu vizuri. Tangu tupate uhuru madarasa yanajengwa kwa pesa za bajeti ya maendeleo na kwa jitihada za wazazi. Leo una uhitaji gani wa kukopa 1.3T ili ukajenge madarasa ambayo hayawezi kujengwa kwa kodi na hizo tozo mnazochukua kwa lazima.​
 
Tozo kazi yake ni nini? Au ndio hela za Lameki za kujiandaa na Campaign 2025?
Ila wa Tzn mna vichwa vigumu aisee,hili swali kuna mtu nimejibu hapo juu..

Kwa kukusaidia muwe mnasikiliza serikali inapoelezea mambo haya yapo kwenye source kibao.

Tozo za miamala ni kwa ajili ya madarasa,maji na afya.. Kwenye madarasani govt ilisema ina upungufu wa vyumba zaidi ya 10,000 both secondary and primary schools,with 1.3 part of money imejenga vyumba zaidi ya 3,000 kwa Sekondari na takribani 1500 kwa shule za msingi..

Upungufu unaosalia unajengwa taratibu na tozo kwa sababu tozo zinapatikana kadiri mnavyofanya transaction na target kwa mwaka ni kupata bil.500 Ndio ikipatikana itagawanywa kwenye afya,maji na hayo madarasa.

Pili tozo nyingine ni mafuta yenye target ya bil.322 kwa mwaka ambayo ipo kwa ajili ya barabara Vijijini,,hivi nyie watu huwa akili mnafungua kwenye vibiyu au? Mnaudhi na kuchosha.
 
Acheni siasa za maji taka hizo!!kubalini tu meko nafsi imeshaachana mwili!!nitakuwa wa mwisho kuamini hilo kuwa mama ameshakopa trilioni 10, kwa muda huu, lakini hata kama ingekuwa kweli kwa akili zenu mnafikiria hayo mamiradi yote aliyoyaacha shujaa wenu, pesa za kuyaendeleza zinatoka wapi?alianzisha miradi bila kuangalia uwezo wa nchi, yeye anavyoamka tu , anakuja na kitu chake, mfano lile daraja la salender kule lina umuhimu gani wa maana?ni mradi gani mpya wa ma trilioni ya pesa ambayo awamu ya 6, imeunzisha?kama sio hayo ya meko??huyo ndungai alikuwa wapi huko nyuma, kukemea hilo?
Halafu eti kwani awamu ya 5 ilikuwa inakopa pesa?
Miradi imesimama kwasababu hakuna pesa, husikii watendaji wakilalamika? Sgr, brt, upanuzi wa bandari, n.k vyote vimesimama au kufutwa kabisa, Sasa miradi ipi hiyo?
 
Boss, Sasa watanganyika wenzetu hawajui kusema au ndo ushabiki wa Simba na Yanga unawafunga macho? Au hata hayo macho hawana? Au kilichopo ndani ya fuvu hakifanyi kazi kabisa?

$2.29bn ni sawa na tzs 1.3t wanazosema ndizo mama kakopa tu? Tena Kuna mwingine kathubutu kumuita mtu Mbuzi kwamba yeye ni mjuaji zaidi, sijui akiona hii atageukaje!
Watu hawafuatilii taarifa afu wanadakia na kuandika ujinga.Wengine ni kama kina Ndugai utafikiri hawako Tzn maana wanauliza hela imefanya nini sasa kama Ndugai anauliza unategemea wanaoswagwa na upepo itakuaje?

WaTzn wengi wanachojua ni umbea,Yanga na Simba na majungu
 
Yaani kujaza wanafunzi madarasani bila kuajiri walimu wa kutosha umejiona ndo una akili, hopeless!!............sisi tumesomea chini ya miti kipindi cha Nyerere na baadaye rais Mwinyi shule zilikuwa na walimu na bado tulipata maarifa na kufaulu vizuri. Tangu tupate uhuru madarasa yanajengwa kwa pesa za bajeti ya maendeleo na kwa jitihada za wazazi. Leo una uhitaji gani wa kukopa 1.3T ili ukajenge madarasa ambayo hayawezi kujengwa kwa kodi na hizo tozo mnazochukua kwa lazima.​
Ndio maana nakwambia wewe ni kenge,unaanza hatua moja baada ya nyingine,hao walimu na watu wa Afya nk wataendelea kuajiriwa kadiri ya pesa inavyopatikana.

Kwa akili yako ya kisoda unadhani hapo ndio mwisho wa kujenga madarasa? Bado yatajengwa.sana tuu hadi population growth itakapoanza kupungua ndio nafuu itapatikana.

Mnapoambiwa mdhibiti uzazi muwe mnaelewa.Zama zimebadilika kama is okey anzisha mtu msomeshe mwanao,unaongea ujinga mwingi.
 
Nimekwambia hivi wewe ni layman was Economics na mambo ya fedha hujui kitu,grants,loan and assistance hujui sifa za hizo .
Unayejua tufafanulie sisi layman tuelewe, au ni ile Elimu ya kukariri vichwa vya "mabombastic"- lakini unashindwa kuelezea kwa undani - unalikumbuka neno "soft loan" lakini soft loan ni nini hasa! Kwa nini inaitwa soft loan, faida zake ni zipi? Je tofauti na loan zingine ni ipi? Au ni semantics tu!
 
Back
Top Bottom