Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Jua kabisa kitanda hakizai haramu"...
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
Chukuria mfano mkewe alichepuka kwa mtu ambaye ana tatizo la kurithi kama ugonjwa wa sickle cell au albino.
Unapata wajukuu wanahayo matatizo utafanya nn.
 
Upumbavu upo wapi.
Bush Dokta
Sikia kaka hawa wanawake hawanashida kumbambikizia mtoto me, coz huyo mtoto yeye ni wake a wewe sio wake kwa hio hata ukimsamehe yeye hepatitis maumivu yeyote, hata wewe akijua umeumia kaangalie paternity court utaelewa
Nikimaanisha kauli ya Kitanda hakizai haramu punguza kukurupuka we mtu mfyuuu
 
Back
Top Bottom