Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #141
Mwanasheria anachukua nyingi kuliko gharama ya kipimo?Tafuta milioni ukapime DNA , ila hakikisha una moyo mgumu haswa na hofu ya Mungu ili ikitokea ndivyo sivyo basi usidhuru mtu au kujidhuru mwenyewe. kama unajua huna moyo mgumu na hofu ya Mungu Usipime DNA maana kuuwa ni nje nje.
Kupima DNA ni laki tatu tuu baba, mama na mtoto unaemuhisi.. hiyo laki saba inayo baki ni mwanasheria , nauli , malazi na chakula