Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #121
Mno yaani aliyeleta DNA ametuokoa sana.Hahahah yani we acha tu kulea bao la mtu stress sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mno yaani aliyeleta DNA ametuokoa sana.Hahahah yani we acha tu kulea bao la mtu stress sana.
Ipo kwa 80% kwa sasa. Nikipima damu zika match nitafika 100%Bado amani haijakurejea😅😅
Wale Jamaa wa DNA wanaweka mbele Maslahi ya Mtoto!Pesa sio shida walishasema ni laki moja tu kwa kichwa
Nakuelewa, ila hapo ni kukaza moyo tu na kuishi kama vile hakuna hilo.. Vinginevyo kama moyo unashindwa himili inabidi utafute ukweli kupitia vipimo. Hapo sasa ndio utajua ukweli na namna ya kudili nao. Pole mkuu... Ukubwa sio umri ni kukabiliana na changamoto kwa busara....Hahahah yani we acha tu kulea bao la mtu stress sana.
Mkuu 80% zinatosha sana, hebu shusha moyo uishi maisha yako ya furaha.Ipo kwa 80% kwa sasa. Nikipima damu zika match nitafika 100%
Uko wapi mkuu? Kuna dawa natafutaWakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba.
Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake.
Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa lakini naamini mchanganyiko wa mbegu nyeusi na maji ya kunde lazima ije zao ya kati kati.
Sasa nikawa najipa muda labda atabadilika kadiri muda unavyosonga lakini wapi ndio kwanza anazidi kuwa white. Sasa kuna siku Mama kaja kutembea na kumuona mtoto akiwa na kama miezi miwili hivi.
Nikiwa nimelala ndani nikasikia Mama anahoji Mke wangu akimuuliza kama stori tu kuwa huyo mjukuu anafanana na nani mbona ana kiwaraza? Mimi sina na mama yake hana. Tena akahoji mbona mweupe sana?
Ni kama kulikuwa na mahojiano serious ikafika mahali akamuuliza leta picha za wajomba zake tuone.
Hapa inaonekana Wife alimwambia anafafanana ujombani. Mama alimkomalia ndio wife akaja ndani kuniuliza kama nina picha za shemeji zangu kwenye simu. Nikamwambia sina basi ikaishia hapo.
Niliendelea kuwaza na kuwazua. Nikifikiria nimefanya uwekezaji mkubwa kwenye familia yangu na msimamizi amekuwa yeye siku zote.
Sijawahi mwambia ila tangu hapo sina hamu naye kabisa. Ni miezi 12 sasa. Hata uwezo wangu wa kuchapa kazi sasa unapungua nina stress kiasi.
Nimejaribu kuvumilia nimeona nije hapa nipate mawazo mawili matatu nianzie wapi?
Ila sio ujaluoniRangi nyeupe ni dominant
Mchawi dnaIla sio ujaluoni
Nipe njia ya hili jambo.
Huko NAIROBI mtu akifika anafanyaje fanyaje?
#YNWA
Dna ataambiwa wakwakeTulia ivo ivo mpka upate pesa za kufanya DNA..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila sio ujaluoni
TuwasilianeUko wapi mkuu? Kuna dawa natafuta
Acha uongo wapimaji sio wajomba zako. Nitapima hapa hapa BongoPima DNA tena sio bongo nenda south au kenya ukipima bongo utaambiwa mtoto ni wako
DNA imeleta Tumain mahali pasipo na Tumaini.Mchawi dna
Huenda ni wangu sema wasi wasi ndio akili.kama unajua huna moyo mgumu na hofu ya Mungu Usipime DNA maana kuuwa ni nje nje.