grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
"Kwenye familia zenu kuna watoto wetu"
Ilisomeka kwenye shield ya gari moja
Ilisomeka kwenye shield ya gari moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ukilea Kuna shida gani? Kwa kuwa unajitafitia matatizo endelea kuteseka.Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba.
Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake.
Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa lakini naamini mchanganyiko wa mbegu nyeusi na maji ya kunde lazima ije zao ya kati kati.
Sasa nikawa najipa muda labda atabadilika kadiri muda unavyosonga lakini wapi ndio kwanza anazidi kuwa white. Sasa kuna siku Mama kaja kutembea na kumuona mtoto akiwa na kama miezi miwili hivi.
Nikiwa nimelala ndani nikasikia Mama anahoji Mke wangu akimuuliza kama stori tu kuwa huyo mjukuu anafanana na nani mbona ana kiwaraza? Mimi sina na mama yake hana. Tena akahoji mbona mweupe sana?
Ni kama kulikuwa na mahojiano serious ikafika mahali akamuuliza leta picha za wajomba zake tuone.
Hapa inaonekana Wife alimwambia anafafanana ujombani. Mama alimkomalia ndio wife akaja ndani kuniuliza kama nina picha za shemeji zangu kwenye simu. Nikamwambia sina basi ikaishia hapo.
Niliendelea kuwaza na kuwazua. Nikifikiria nimefanya uwekezaji mkubwa kwenye familia yangu na msimamizi amekuwa yeye siku zote.
Sijawahi mwambia ila tangu hapo sina hamu naye kabisa. Ni miezi 12 sasa. Hata uwezo wangu wa kuchapa kazi sasa unapungua nina stress kiasi.
Nimejaribu kuvumilia nimeona nije hapa nipate mawazo mawili matatu nianzie wapi?
Kweli itabidi niende nairobi....kule hawatumii sheria kama za Tanazania?Usimwambie fanya siri. Kama una uwezo tafuta vipimo vya mtoto kama nywele au kucha unaenda zako nairobi kupima
Namimi nabandika kwenye IST yangu😅😅"Kwenye familia zenu kuna watoto wetu"
Ilisomeka kwenye shield ya gari moja
Nilee mboo ya mtu mwingine? Huo ujinga sifanyiKwani ukilea Kuna shida gani? Kwa kuwa unajitafitia matatizo endelea kuteseka.
😅😅😅Jambo usilolijua sawa na usiku wa giza, fanya kama hujui kitu vile...
Yaanimkama unajikuna tuu afu ishasahau kila kitu...😁.
Mwehu akishiba ugali hutoa ushuzi mdomoi badala ya maneno yenye tija... umeshiba ugali mkuu. Tulia usiropoke ropokeUmeambiwa umebambikizwa?
Lea ni Mwanao...
Hivi ukimwekea chuki huyo mtoto asiyekuwa na makosa kabisa, unafikiri itakuwaje?
Sikiliza kuwa Social father is good enough.
Fikiri kama Baba mawazo yakubambikiziwa yatakuumiza.
Au hata ukipata hiyo chance ya kupima DNA ukagundua kuwa ni mtoto wako, itakuumiza zaidi. due to hatred inayojizalishia sasa.
"Jua kabisa kitanda hakizai haramu"...
Hivi why mkishiba ugali mnatoa ushuzi midomoni? Umeandika nn sasaMtoto akizaliwa bomani mwako ni wako, acha upuuzi wa kuchimbachimba vitu[emoji3525]
Acha kuandika ushuzi...Kwani ukilea Kuna shida gani? Kwa kuwa unajitafitia matatizo endelea kuteseka.
Kitanda hakizai haramuWakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba.
Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake.
Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa lakini naamini mchanganyiko wa mbegu nyeusi na maji ya kunde lazima ije zao ya kati kati.
Sasa nikawa najipa muda labda atabadilika kadiri muda unavyosonga lakini wapi ndio kwanza anazidi kuwa white. Sasa kuna siku Mama kaja kutembea na kumuona mtoto akiwa na kama miezi miwili hivi.
Nikiwa nimelala ndani nikasikia Mama anahoji Mke wangu akimuuliza kama stori tu kuwa huyo mjukuu anafanana na nani mbona ana kiwaraza? Mimi sina na mama yake hana. Tena akahoji mbona mweupe sana?
Ni kama kulikuwa na mahojiano serious ikafika mahali akamuuliza leta picha za wajomba zake tuone.
Hapa inaonekana Wife alimwambia anafafanana ujombani. Mama alimkomalia ndio wife akaja ndani kuniuliza kama nina picha za shemeji zangu kwenye simu. Nikamwambia sina basi ikaishia hapo.
Niliendelea kuwaza na kuwazua. Nikifikiria nimefanya uwekezaji mkubwa kwenye familia yangu na msimamizi amekuwa yeye siku zote.
Sijawahi mwambia ila tangu hapo sina hamu naye kabisa. Ni miezi 12 sasa. Hata uwezo wangu wa kuchapa kazi sasa unapungua nina stress kiasi.
Nimejaribu kuvumilia nimeona nije hapa nipate mawazo mawili matatu nianzie wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani lazima uwe biological father
Unawashwa eh, acha shoboHivi why mkishiba ugali mnatoa ushuzi midomoni? Umeandika nn sasa
Sasa kama litoto lenyewe lijingaAliyeleta taharuki ni huyo bibi wa mtoto. Ila wazazi wengine sijui wakojee, wanapenda kuvuruga amani ktk ndoa za wanao, hasa wa mama lol.
Kimeumanaaa 🤣🤣🤣Ondoka kabla hasira hazijawa chuki.
View attachment 2639828
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama litoto lenyewe lijinga
Hii biology ya wapi mtoto arithi tena 60% kutoka kwa babu yake?Mzee rangi katika genetics ni complex Sana. Hapo unatakiwa uangalie features zingine kwenye mwili wa mtoto wako kama mnafanana. Mtoto anarithi 50% kutoka kwako na wewe umerithi 50%-50% kutoka kwa wazee wako na wao hivyo hivyo. Pia katika process ya ukuaji wa mtoto tumboni genes hujielezea tofauti. Vitu mfano nywele na ngozi sio process simple kama vile kutengeneza damu
Sent using Jamii Forums mobile app