Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Mkiambiwa mupige show vizuri hamtaki mnaona hela na kuhonga ndio kila kitu, marijali mapenzi kwetu ni kama kazi hatutaki dharau,me nikikamata demu hata akisema kachoka ninaye nahakikisha kesho ukimwambia nataka anakwambia siwezi kwa kweli.
 
Sawa mkuu unashindana na K
 
Pole broo....kukosa furaha mwaka mzima ni hatari kwa afya yako...tafuta kamchepuko rahisi uwe unapotezea mawazo huko la sivyo utaangamia kwa presha bure
 
Back
Top Bottom