Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #41
Wa kulea shahawa za mwrnzangu huku navhekelea harafu wao wakikutana wanasema Yule fala tumemuwezaUjinga upi dokta? Wa kupima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kulea shahawa za mwrnzangu huku navhekelea harafu wao wakikutana wanasema Yule fala tumemuwezaUjinga upi dokta? Wa kupima?
Hajashtuka 😂😂😂😂 naumia kujua nina kaka mjinga km yule walahiYule kaka yako yeye hakushtuka kabisa😁😁
Kapime DNA uthibitishe, Utupe mrejeshoWa kulea shahawa za mwrnzangu huku navhekelea harafu wao wakikutana wanasema Yule fala tumemuweza
Yaani una kaka analea au ni shemeji?Hajashtuka 😂😂😂😂 naumia kujua nina kaka mjinga km yule walahi
Kwenye ule uzi nimeelezea kwa undani hilo sakata, acha tu mkuuYaani una kaka analea au ni shemeji?
Pole kakaWakuu mganga hajigangi mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauza uza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba.
Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita....
Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ika mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake.
Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa lakini naamini mchanganyiko wa mbegu nyeusi na maji ya kunde lazima ije zao ya kati kati.
Sasa nikawa najipa muda labda atabadirika kadiri muda unavyosonga lakini wapi ndio kwanza anazidi kuwa white.
Sasa kuna siku Mama kaja kutembea na kumuona mtoto akiwa na kama miezi miwili hivi.
Nikiwa nimelala ndani nikasikia Mama anahoji Mke wangu akimuuliza kama stori tu kuwa huyo mjukuu anafanana na nani mbona ana kiwaraza? Mimi sina na mama yake hana. Tena akahoji mbona mweupe sana?
Ni kama kulikuwa na mahojiano serious ikafika mahali akamuuliza leta picha za wajomba zake tuone.
Hana inaonekana Wife alimwambia anafafanana ujombani.
Mama alimkomalia ndioo wife akaja ndani kuniuliza kama nina picha za shemeji zangu kwenye simu.
Nikamwambia sina basi ikaishia hapo.
Niliendelea kuwaza na kuwazua.
Nikifikiria nimefanya uwekezaji mkubwa kwenye familia yangu na msimamizi amekuwa yeye siku zote.
Sijawahi mwambia ila tangu hapo sina hamu naye kabisa.
Ni miezi 12 sasa. Hata uwezo wangu wa kuchapa kazi sasa unapungua nina stress kiasi.
Nimejaribu kuvumilia nimeona nije hapa nipate mawazo mawili matatu nianzie wapi?
😆😆😆Kwani lazima uwe biological father
You should be a social father by choice, not by being fooled.Ondoa Mashaka.
Most of Africans are Social fathers.
Lea mtoto akue tena kwa Mapenzi yote.
Ukiweka hayo moyoni utateseka sana.
Lea mtoto acha janjajanja.[emoji38][emoji38][emoji38]
KabisaYou should be social father by choice, not by being fooled.
Akili za Kabudi muachie Kabudi mwenyewe akazitumie kutoa macho.
😁😁😁Lea mtoto acha janjajanja.
KmmkOndoka kabla hasira hazijawa chuki.
View attachment 2639828
😁😁😁Hajashtuka 😂😂😂😂 naumia kujua nina kaka mjinga km yule walahi
😅😅😅DNA, Ila uwe mvumilivu , ukizingatia msemo wa wahenga "kitanda hakizai haramu"
DNA labda akafanye nje ya nchi, ila hapa bongo atadanganywa kuwa mtoto ni wake kupunguza migogoro ya familia na watoto wa mitaaniTulia ivo ivo mpka upate pesa za kufanya DNA..