Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Kwa miezi 12 sasa moyo wangu unateketea. Nahisi huyu Mtoto sio wangu

Fanya kazi ndugu, hizi mambo sio za leo wala jana na haziishii lei wala kesho just ignore!

Kuna dawa fulani hivi nina haja nayo nitaipata kwako doctor?
Usimdanganye ashakuwa na kitu kichwani hawezi kuignore mwambie apime tu
 
Haya sawa unajifanya mbishi fala wewe me nilishafanya kazi huko Usiwe mbishi shoga wewe
Kulete matusi kwa hoja ndogo kama hiyo inadhihirisha wewe ulikuwa kishoka tu huna hadhi ya kufanya kwenye ofisi yenye heshima kama GCLA
 
Wakuu mganga hajigangi, mimi kama Bush Dokta sio dokta wa mauzauza bali ni dokta Herbalist yaani wa mitishamba.

Sasa nina mtoto amezaliwa miezi 12 iliyopita. Mimi ni mweusi Tii, Mama ni maji ya kunde ila mtoto amekuwa maji ya kunde zaidi ya Mama yake.

Hata kama mimi sio msomi wa sayansi kubwa lakini naamini mchanganyiko wa mbegu nyeusi na maji ya kunde lazima ije zao ya kati kati.

Sasa nikawa najipa muda labda atabadilika kadiri muda unavyosonga lakini wapi ndio kwanza anazidi kuwa white. Sasa kuna siku Mama kaja kutembea na kumuona mtoto akiwa na kama miezi miwili hivi.

Nikiwa nimelala ndani nikasikia Mama anahoji Mke wangu akimuuliza kama stori tu kuwa huyo mjukuu anafanana na nani mbona ana kiwaraza? Mimi sina na mama yake hana. Tena akahoji mbona mweupe sana?

Ni kama kulikuwa na mahojiano serious ikafika mahali akamuuliza leta picha za wajomba zake tuone.

Hapa inaonekana Wife alimwambia anafafanana ujombani. Mama alimkomalia ndio wife akaja ndani kuniuliza kama nina picha za shemeji zangu kwenye simu. Nikamwambia sina basi ikaishia hapo.

Niliendelea kuwaza na kuwazua. Nikifikiria nimefanya uwekezaji mkubwa kwenye familia yangu na msimamizi amekuwa yeye siku zote.

Sijawahi mwambia ila tangu hapo sina hamu naye kabisa. Ni miezi 12 sasa. Hata uwezo wangu wa kuchapa kazi sasa unapungua nina stress kiasi.

Nimejaribu kuvumilia nimeona nije hapa nipate mawazo mawili matatu nianzie wapi?
Ni mkeo
 
Mkuu tuliza kichwa jibu utalipata tu..

Mtoto kama sio wako dalili utaziona tu badae mkija kuongea kama alifanya kosa alafu unataka kumrekebisha tabia.....utaona dalili kutoka kwa mama ake pia.
Mmmmh unajua wanawake wewe.
 
Kauli ya kipumbavu sana hiyo, nzuri kumtamkia mwingine
Upumbavu upo wapi.
Bush Dokta
Sikia kaka hawa wanawake hawanashida kumbambikizia mtoto me, coz huyo mtoto yeye ni wake a wewe sio wake kwa hio hata ukimsamehe yeye hepatitis maumivu yeyote, hata wewe akijua umeumia kaangalie paternity court utaelewa
 
Back
Top Bottom